Year: 2024

Infographics

Jaji Afrika Kusini afunguliwa mashtaka

BUNGE la Afrika Kusini limemfungulia mashtaka mmoja wa majaji wakuu wa nchi hiyo kwa utovu wa nidhamu. Uchunguzi uligundua kuwa…

Soma Zaidi »
Africa

Mataifa saba yafutiwa ada kuingia Kenya

KENYA imewasamehe walio na pasipoti kutoka nchi saba kulipa ada ya kuingia nchini humo iliyoanzishwa mwezi uliopita. Serikali ilitupilia mbali…

Soma Zaidi »
Africa

Rais Senegal atangaza ukomo wake

RAIS wa Senegal, Macky Sall amesema April 2, mwaka huu atafikia ukomo wa nafasi yake ila hafahamu ni lini uchaguzi…

Soma Zaidi »
Africa

Uturuki kuipa Somalia ulinzi baharini

UTURUKI itatoa msaada wa usalama wa baharini kwa Somalia kusaidia nchi hiyo kutetea mipaka yake ya maji, ofisa kutoka Wizara…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

“Wasanii fanyeni kazi kwa mikataba”

DAR ES SALAAM: Wasanii na wadau sanaa wametakiwa kufanya kazi kwa makubaliano kwa kuandikishana mikataba, itakayoleta  amani, upendo ushirikiano na…

Soma Zaidi »
Infographics

Dk Mpango awapa mbinu vijana ufundi stadi

TANGA: Makamu wa Rais Dk Philip Mpango,amewataka vijana wanaosoma katika vyuo vya ufundi stadi kutumia ujuzi walioupata kutengeneza fursa ya…

Soma Zaidi »
Maisha ya Vijijini

TASAF yapewa wiki mbili kulipa malimbikizo ya walengwa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene ameupa Mpango wa Kunusuru…

Soma Zaidi »
Jamii

Mwenyekiti CCM Tabora afariki dunia

TABORA: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Hassan Wakasuvi amefariki…

Soma Zaidi »
Afya

Hospitali ya Tanganyika kupokea Madaktari bingwa 18

KATAVI: Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi inatarajia kupokea Madaktari bingwa 18 kutoka Marekani kwa ajili ya kutoa matibabu…

Soma Zaidi »
Infographics

Kiwango cha upatikanaji maji mijini ,vijiji chaongezeka

TANGA: Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema kuwa kiwango cha upatikanaji wa maji safi na salama nchini ni asilimia 88…

Soma Zaidi »
Back to top button