Year: 2024

Michezo na Burudani

Gamondi hesabu maeneo mawili

KUELEKEA mchezo wa kesho Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga imefanyia kazi maeneo mawili ya uwanja, eneo la kushambulia na kujilinda,…

Soma Zaidi »
Maisha ya Vijijini

Dk Biteko aipongeza REA umeme vijiji vya Iringa

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko amewasha umeme katika kijiji cha Mkangwe wilayani Mufindi kama pongezi…

Soma Zaidi »
Tanzania

PPRA waendesha semina usimamizi fedha za serikali

MAMLAKA ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) kwa kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali ya Omuk Hub na Africa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Diamond apata shemeji

DAR ES SALAAM: DADA wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayefahamika kwa jina la Esma Abdul ‘Esma…

Soma Zaidi »
Maisha ya Vijijini

Vijiji 30 kupatiwa ufumbuzi migongano binadamu, wanayamapori

WANANCHI waliopo katika vijiji 30 vilivyopo katika wilaya tatu za mikoa ya Lindi na Ruvuma watajengewa uwezo wa namna ya…

Soma Zaidi »
Infographics

Migogoro ya ardhi Kigoma yakwamisha maendeleo

MKUU wa Wilaya Kigoma, Salum Kali amesema migogoro ya ardhi katika wilaya hiyo imekuwa changamoto  katika utekelezaji mpango wa maendeleo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mpango awataka vijana vyuo vya ufundi kutengeza ajira

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana wanaosoma katika vyuo vya ufundi stadi kutumia ujuzi walioupata kutengeneza fursa ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bashungwa ataka madaraja, makaravati yenye ubora

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaagiza mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania  (TANROADS) kufanya kazi za usanifu wa makaravati na madaraja…

Soma Zaidi »
Infographics

“Watendaji wangu acheni kuchepusha barabara”

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuacha mpango wa kutaka kuchepusha barabara kuu eneo la…

Soma Zaidi »
Infographics

Vikosi vya ulinzi Tripol vyakubali kuondoka

VIKOSI ambavyo vimekuwa vikidhibiti Tripoli kwa zaidi ya muongo mmoja vimekubali kuondoka katika mji mkuu wa Libya. Waziri wa Mambo…

Soma Zaidi »
Back to top button