Year: 2025

Bunge

Buriani Jenista Mhagama 1967 – 2025

MWANASIASA mkongwe aliyewahi kuwa waziri na mbunge kwa miaka 25, Jenista Joakim Mhagama (58) amefariki dunia. Kwa mujibu wa Spika…

Soma Zaidi »
Featured

Mhagama kuzikwa Des.16 kijijini Ruanda

DODOMA; MBUNGE wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama aliyefariki dunia leo Desemba 11, 2025 mjini Dodoma, atazikwa Desemba 16, 2025…

Soma Zaidi »
Tanzania

RC Pwani ataka weledi kwa watendaji

PWANI: Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema wakuu wa wilaya, wakurugenzi na watendaji mbalimbali wa serikali wanapaswa kuhakikisha…

Soma Zaidi »
Featured

Dk Nchimbi: Taifa limepata pengo kifo cha Mhagama

DODOMA; Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi amesema Taifa limepata pengo kuondokewa na Mbunge wa Jimbo la Peramiho…

Soma Zaidi »
Featured

Rais Samia ateua Mwenyekiti Bodi Tanesco

DODOMA; RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua  Plasdus Mbossa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Taarifa…

Soma Zaidi »
Infographics

Rais Samia ateua Mkurugenzi Mkuu PSSSF

DODOMA; RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua Fortunatus Magambo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mahakama Kuu Iringa yafungua mlango haki kwa wote

IRINGA: Chuo Kikuu cha Iringa (UoI) kimesema mageuzi yaliyofanywa na Mahakama Kuu Kanda ya Iringa katika miaka 20 ya uwepo…

Soma Zaidi »
Dodoma

Mwigulu: Fanyeni mapitio tamko la mali, madeni

DODOMA; WAZIRI MKUU Dk Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko la mali na madeni na…

Soma Zaidi »
Infographics

Stars wakijifua kujiandaa AFCON

CAIRO, Misri; Wachezaji wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa mazoezini jijini Cairo, Misri kujiandaa na…

Soma Zaidi »
Featured

Rais Samia aomboleza kifo cha Jenista

DAR ES SALAAM; RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu kufuatia kifo…

Soma Zaidi »
Back to top button