Year: 2025

Dini

Wakristo wahimizwa kusimamia haki, ukweli

DAR ES SALAAM – VIONGOZI wa dini ya Kikristo katika Ibada ya Ijumaa Kuu wamewataka waumini kutafakari maisha yao kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakulima wa tumbaku kulipwa bil 13/- za mbolea ya ruzuku

TABORA – MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewahakikishia wakulima wa zao la tumbaku nchini kuwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Wazazi watakiwa kuandikisha watoto tenisi

DAR ES SALAAM – CHAMA cha Tenisi Tanzania (TTA) kimefungua milango kwa wazazi na kuwahimiza kuwaleta watoto wao kwenye mazoezi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga nguvu kwa mashabiki vita ya kutetea ubingwa Bara

DAR ES SALAAM – KLABU ya Yanga imesema inategemea nguvu ya mashabiki kushinda michezo yote iliyosalia ya Ligi Kuu Tanzania…

Soma Zaidi »
Featured

Viongozi wa dini wataka uchaguzi wa amani

DAR ES SALAAM – WAKATI nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2025, Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), imetoa wito kwa vyama…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Tehran yatilia shaka dhamira ya Marekani

URUSI: WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametilia shaka nia ya Marekani siku moja kabla ya duru…

Soma Zaidi »
Jamii

Zanzibar yaweka mkazo katika ulinzi na malezi bora

ZANZIBAR: SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imetangaza kuwa haitenganishi watoto na familia zao, lakini inachukua hatua za kuwalea watoto wanaokumbwa na…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Kikwete ahitimisha ziara yake Bukina Faso

UJUMBE Maalum wa Rais Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina…

Soma Zaidi »
Infographics

GH Foundation yatoa mafunzo ukatili wa kijinsia.

TAASISI ya GH Foundation imefanya warsha ya kuwajengea uwezo askari wa Jeshi la Polisi, maofisa ustawi wa jamii, Waandishi wa…

Soma Zaidi »
Infographics

Wajukuu wa Samia kutangaza mafanikio ya Rais

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewateua wasanii wafupi wakiongozwa na Tausi Degela, Pimbi na Hamisi, kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button