Year: 2025

Tanzania

Chalamila: Hakuna atakayevuruga amani ya Dar es Salaam

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema hakuna mtu y0yote atakayeruhusiwa kuvuruga amani na usalama wa Mkoa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanaofanya magendo kwenye kahawa kukiona

SERIKALI mkoani Kagera imejipanga kukabiliana na suala la magendo ya kahawa huku ikiahidi kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika wakijihusisha na…

Soma Zaidi »
Siasa

ACT yaongeza muda kuchukua, kurejesha fomu uchaguzi mkuu

CHAMA cha ACT – Wazalendo kimeongeza muda wa kuchukuwa na kurejesha fomu za kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo ya Urais wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwenge wa Uhuru watua Kilosa

MKUU wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka (kulia) akipokea Mwenge wa Uhuru kwenye makabidhiano eneo la Ruaha…

Soma Zaidi »
Zanzibar

ZIPA: Mkutano uwekezaji utahamasisha fursa uwekezaji

MAMLAKA ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imesema Mkutano wa Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar unalenga kuhamasisha fursa mpya za uwekezaji…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali, Costech, CRDB kuwapa wabunifu mikopo nafuu

SERIKALI imetenga Sh bilioni 2.3 kwa ajili ya mikopo nafuu kwa vijana wabunifu na watafiti nchini, ikiwa ni hatua madhubuti…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Che Malone awatoa hofu awatoa hofu mashabiki mashabiki Simba

DAR ES SALAAM – BEKI wa Simba, Che Fondoh Malone amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuelekea mchezo wao wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Prisons, KMC vitani kujinasua

DAR ES SALAAM – TANZANIA Prisons na KMC zinakabiliwa na mtihani wa kujinasua kwenye nafasi za chini kwenye msimamo wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Nyumba 155 zaunganishwa gesi asilia Mikocheni Dar

DODOMA – NYUMBA 155 zimeunganishwa na mtandao wa matumizi ya gesi asilia katika eneo la Mikocheni, Dar es Salaam na…

Soma Zaidi »
Biashara

CRDB, Costech kutumia bilioni 2.3/- kuwezesha biashara

DAR ES SALAAM – BENKI ya CRDB na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wamesaini mkataba wa Sh…

Soma Zaidi »
Back to top button