Year: 2025

Tanzania

Hamas haitaachilia mateka zaidi kama ilivyotarajiwa

PALESTINA: HAMAS imesema itachelewesha mpango wa kuwaachilia mateka zaidi katika Ukanda wa Gaza baada ya kuishtumu Israel kwa kukiuka makubaliano…

Soma Zaidi »
Tanzania

Aliyepaki bajaji barabarani na kulala atiwa mbaroni

MOROGORO: JESHI la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia dereva bajaji aliyefahamika kwa jina la Ahmaded Kipozi ,39, kwa kosa la kupaki…

Soma Zaidi »
Featured

Mahiza akemea NGO’s kutumia wananchi kujinufaisha

MWENYEKITI wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini (NACONGO) Mwantumu Mahiza ameyanyooshea kidole baadhi ya mashirika yanayofanya…

Soma Zaidi »
Featured

‘Elimu ya fedha itachochea maendeleo yetu kiuchumi’

Wananchi wa Kata ya Makanya, Wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro, wameipongeza Serikali kwa kuwapelekea elimu ya fedha ambayo inatarajia kuwa…

Soma Zaidi »
Fedha

Tutuba aisifu Selcom Pesa mapinduzi huduma za kifedha

BENKI ya Selcom Microfinance Tanzania Limited imezindua rasmi huduma yake mpya ya kifedha ya kidigitali ijulikanayo kama SELCOM PESA, inayolenga…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Wanajeshi 84 DRC wapandishwa kizimbani

CONGO: KESI inayowakabili wanajeshi 84 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanaotuhumiwa kwa mauaji, ubakaji, na uhalifu mwingine dhidi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

TRC waagizwa kuongeza huduma za kisasa SGR

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amelitaka Shirika la Reli Tanzania (TRC), kuongeza huduma mbalimbali kama huduma…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Afrika Kusini yapeleka wanajeshi 800 Lubumbashi

CONGO: AFRIKA KUSINI imepeleka wanajeshi zaidi na zana za kivita nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiwa ni wiki chache…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Zaidi ya watu 35 wauawa Ituri DRC

CONGO: WANAMGAMBO wenye silaha wamewaua zaidi ya raia 35 na kuwajeruhi wengine kadhaa katika shambulio lililotokea usiku wa Jumatatu katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Vikundi 39 vyakidhi vigezo mikopo Geita

GEITA: JUMLA ya vikundi 39 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu sawa na asilimia 82 ya vikundi 47 vilivyoomba…

Soma Zaidi »
Back to top button