Year: 2025

Featured

Marcus Rashford mambo sio shwari Old Trafford

TETESI za usajili zinasema wawakilishi wa mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, wamekutana na viongozi wa Barcelona huku mchezaji huyo…

Soma Zaidi »
Featured

Viongozi vyama vya siasa wawapa neno Mbowe, Lissu

VIONGOZI wa vyama vya viasa na wachambuzi wa siasa wamewashauri viongozi wapya wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA) kuhakikisha wanarejesha umoja…

Soma Zaidi »
Featured

Marais 25 kushiriki mkutano wa nishati Dar

MAKAMU wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayeshughulikia masuala ya nishati na mabadiliko ya hali ya hewa,…

Soma Zaidi »
Featured

Bashungwa asifu Polisi weledi mikutano ya CCM, Chadema

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Umoja wa Mataifa kutafuta dola milioni 910 kusaidia Nigeria

NIGERIA : UMOJA wa Mataifa unatafuta dola milioni 910  ili kutoa msaada wa kibinadamu kwa watu kaskazini mwa Nigeria, ambao…

Soma Zaidi »
Tanzania

Noti mpya kuingia kwenye mzunguko Februari Mosi

GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk…

Soma Zaidi »
Featured

Samia ataka udhibiti milipuko ya magonjwa

RAIS Samia Suluhu Hassan amemtaka Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe, kusimamia kwa umakini masuala ya milipuko ya magonjwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Waasi wa M23 wateka Minova na kuhatarisha Goma

CONGO : KUNDI la waasi wa M23 limeutwaa mji wa Minova, ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambao…

Soma Zaidi »
Featured

Mifumo kidijitali kuwanufaisha wakulima

MARA: MKUU wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kuchangamkia fursa za kiuchumi…

Soma Zaidi »
Kimataifa

AU yasikitishwa na Marekani kujiondoa WHO

MAREKANI : UMOJA wa Afrika umesikitishwa na uamuzi wa Marekani kujiondoa Shirika la Afya Duniani (WHO). Hivi karibuni, Rais Donald…

Soma Zaidi »
Back to top button