Year: 2025

Jamii

Wazazi Mtwara wafundwa elimu kwa watoto

WAZAZI katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kuona umuhimu wa elimu kwa watoto kwa sababu ndio…

Soma Zaidi »
Fedha

Rais Samia mgeni rasmi tuzo ulipaji kodi

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni katika tuzo ya walipaji kodi wazuri kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) katika kipindi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi watakiwa kushiriki uhakiki taarifa za anwani

VIONGOZI wa serikali za mitaa mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la uhakiki wa taarifa za anwani…

Soma Zaidi »
Featured

Mwinyi: Serikali itajenga barabara nyingi Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi wa Pemba kuwa barabara nyingi…

Soma Zaidi »
Featured

Tanzania, Uingereza kushirikiana kuendeleza madini mkakati

SERIKALI ya Tanzania imeihakikishia Serikali ya Uingereza kuendeleza ushirikiano kwenye sekta ya madini hususani katika kujengea uwezo watu wake, kubadilishana…

Soma Zaidi »
Infographics

“Tanzania ina nafasi kukuwa kiuchumi 2050”

DAR ES SALAAM: OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul, Satbir Singh Hanspaul amesema kuwa Tanzania ipo katika nafasi nzuri…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Timu 120 Iringa kuwania Mil15/- Vunjabei Cup

MASHINDANO makubwa ya Vunjabei Cup yanatarajiwa kutimua vumbi Januari 11 mkoani Iringa yakishirikisha timu 120 kutoka kila kona ya mkoa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Vyombo vya usalama vyajipanga kumkamata Yoon Suk

KOREA KUSINI : RAIS wa Korea Kusini aliyesimamishwa kazi, Yoon Suk Yeol, anakabiliwa na jaribio jipya la kukamatwa baada ya…

Soma Zaidi »
Featured

ACT Wazalendo wataka mikakati zaidi ajira kwa vijana

DAR ES SALAAM: CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema serikali inapaswa kuweka nguvu zaidi kwenye suala la ajira kwa vijana, ili kuimarisha…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Nitamaliza vita vya Urusi na Ukraine – Trump

MAREKANI : RAIS mteule wa Marekani, Donald Trump, amepanga kukutana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, mara baada ya kuapishwa…

Soma Zaidi »
Back to top button