Year: 2026

Tanzania

Programu ya ‘Kopa Ng’ombe, Lipa Maziwa’ kuwaokoa wafugaji Kagera

KAGERA: Maelfu ya wafugaji katika mikoa ya Kagera wanatarajiwa kunufaika na programu ya iMbeju Kilimo Kopa Ng’ombe, Lipa Maziwa, inayolenga…

Soma Zaidi »
Tanzania

AFDP yawainua wavuvi na wafanyabiashara Kipumbwi

PANGANI, TANGA: Wananchi wa Kata ya Kipumbwi, Wilaya ya Pangani mkoani Tanga, wameeleza kunufaika na Programu ya Kuendeleza Kilimo na…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mashindano ya KNK yaibua vipaji Bukombe

GEITA; Jumla ya vijana 6,100 kutoka timu 248 wamepata fursa ya kuonesha vipaji vyao katika msimu wa 10 wa mashindano…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watanzania wapata nafasi mpya TPSC

DAR ES SALAAM: Watanzania wanaotaka kuongeza elimu na kujenga taaluma wamepata fursa mpya baada ya Chuo cha Utumishi wa Umma…

Soma Zaidi »
Tanzania

Polisi wanawake Njombe watakiwa kutoa elimu ukatili

NJOMBE: MAOFISA, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wanawake mkoani Njombe wametakiwa kwenda kwa wananchi katika maeneo yao na kutoa…

Soma Zaidi »
Infographics

Shule ya msingi Makangaga yapata darasa jipya

LINDI: SHULE ya Msingi Makangaga iliyopo Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi imepokea darasa jipya kutoka katika kampuni ya uzalishaji…

Soma Zaidi »
Tanzania

PSSSF, TBN kuimarisha elimu kwa umma

DAR ES SALAAM: Timu ya maofisa wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) imefanya ziara katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi waomba ujenzi nyumba ya mganga mfawidhi Mnyahi

MTWARA: WAKAZI wa Kata ya Milango Minne iliyopo Halmashauri ya Mji Nanyamba wameiomba serikali kuwasaidia nyumba ya mganga mfawidhi wa…

Soma Zaidi »
Featured

Aliyejifungua watoto 3 akumbukwa, msaada zaidi wahitajika

DODOMA; Msamaria mwema ametoa msaada wa chakula na mahitaji mengine ya nyumbani kwa mama wa watoto tisa anayeishi Kijiji cha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Shemndolwa, Ondari mabingwa mashindano ya gofu ya Vodacom 2026

DAR ES SALAAM: Khalid Shemndolwa na Yvonne Ondari wameibuka mabingwa wa jumla katika mashindano ya gofu ya Vodacom Corporate Masters…

Soma Zaidi »
Back to top button