Year: 2026

Tanzania

TZ, Comoro zaunganishwa safari mpya za Royah Air

DAR ES SALAAM: Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) umeandika hatua mpya katika sekta ya usafiri…

Soma Zaidi »
Afya

Serikali yaendelea kuimarisha utayari kukabili dharura za afya

MOROGORO: SERIKALI kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) kupitia ufadhili wa Pandemic Fund imeendelea kutoa mafunzo maalumu ya…

Soma Zaidi »
Habari Kwa Kina

Trilioni 76 za maendeleo zilivyoibadili Tanzania

Mwaka 2021, mkazi wa Sumbawanga aliyekuwa akihitaji huduma ya CT Scan au matibabu ya kibingwa mara nyingi alilazimika kusafiri kilomita…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wataalamu kukutana Mwanza kujadili changamoto za jamii

MWANZA: WATALAAMU wa Maendeleo ya Jamii nchini wanatarajia kukutana katika mkutano mkuu wa mwaka kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali…

Soma Zaidi »
Infographics

Faru weupe kuongeza chachu ya uhifadhi nchini

ARUSHA: SERIKALI itaendelea kuongeza nguvu katika uhifadhi wa wanyamapori aina ya faru ambao wapo haratini kutoweka kwa kuimarisha Mradi wa…

Soma Zaidi »
Infographics

Sakata la ekari sita Arusha lachukua sura mpya

ARUSHA: SAKATA la mfanyabiashara wa nafaka mkoani Arusha, Phillemon Mollel maarufu ‘Monaban’ juu ya uhalali wa umiliki wa eneo la…

Soma Zaidi »
Madini

Serikali yaanza mpango kuondoa uchimbaji wa kubahatisha

DAR ES SALAAM: Serikali imeanza safari ya kuondoa uchimbaji wa kubahatisha nchini baada ya kuweka mfumo utakaowezesha asilimia 10 ya…

Soma Zaidi »
Afya

Katavi wanufaika huduma za afya za kibingwa bure

KATAVI; Wananchi wa Mkoa wa Katavi wamepongeza hatua ya Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Empower Society Build the Nation (ESBN)…

Soma Zaidi »
Afya

Mkakati maalumu kuwanasa wauguzi jeuri

GEITA: SERIKALI mkoani Geita imetangaza mpango rasmi wa kupokea taarifa za wauguzi na watumishi wa afya wanaofanya vitendo visivyo vya…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM yawaonya wanaohamasisha uvunjifu wa amani

DODOMA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuunga mkono juhudi za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, za kuharakisha maendeleo ya…

Soma Zaidi »
Back to top button