Na Aveline Kitomary

Jamii

Wanafunzi wapewa sare za shule bure

WANAFUNZI 60 wa Shule ya Msingi Mloganzila A na B wenye uhitaji wamepewa msaada wa sure za shule na watumishi…

Soma Zaidi »
Jamii

TASWA yamlilia Mzee Mwenda

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba wa kiongozi wa zamani…

Soma Zaidi »
Afya

Changamoto ya ukuaji yamlaza mtoto miezi 11

DAR ES SALAAM;Mtoto Elisha Kigobanya mwenye umri wa miaka saba aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, ameruhusiwa baada ya kukaa…

Soma Zaidi »
Kanda

Takukuru yataka trafiki wabadilishwe vituo

KATAVI; Mpanda. TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Katavi, imependekeza kubadilishwa vituo vya kazi kwa askari…

Soma Zaidi »
Jamii

Polisi yanasa meno ya tembo, bunduki

OPARESHENI zinazoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa, zimewezesha kukamata vipande saba vya meno ya tembo pamoja na…

Soma Zaidi »
Utamaduni

Miaka 50 ya Hip hop na vita ya dawa za kulevya, vurugu

WAHAFIDHINA wa tamaduni ya hip hop ‘Hip Hop Culture’, leo wanaadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwa utamaduni huo. Inaaminika utamaduni…

Soma Zaidi »
Jamii

Wamachinga Iringa warejea soko la Mlandege

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego ameunda kamati itakayoanza leo kushughulikia changamoto mbalimbali za Wamachinga, hatua inayolenga kuyapa nguvu…

Soma Zaidi »
Jamii

Watakiwa kutunza vyanzo vya maji

WANANCHI wa Kata za Katoma na Karabagaine, Halmashauri  ya Bukoba  mkoani Kagera, wamehimizwa kuhakikisha wanalinda na kutunza chanzo cha maji…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Tanzania, Malawi kushirikiana kuzalisha umeme

TANZANIA  na Malawi zimeingia makubaliano ya ushirikiano katika nishati, ikiwa kutekeleza agizo la wakuu wa nchi hizo mbili. Akizungumza leo…

Soma Zaidi »
Jamii

Ludewa wafurahia kung’ara Nanenane

HALMASHAURI ya Wilaya ya Ludewa, mkoani Njombe imeshika nafasi ya kwanza kitaifa kwa mwaka 2023 katika maonesho ya Nanenane kupitia…

Soma Zaidi »
Back to top button