Na Mwandishi Wetu

Siasa

Wasira akusanya Sh Mil 400 ujenzi ofisi ya CCM Bunda

MARA; MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema umoja wa wanachama ndiyo uliokiwezesha chama kufanya…

Soma Zaidi »
Bunge

Spika: Benki ni tatizo Mikopo ya asilimia 10

DODOMA; SPIKA wa Bunge, Mussa Zungu, amesema benki nyingi nchini ndiyo tatizo kuhusu mikopo asilimia 10 ya halmashauri kuwafikia walengwa.…

Soma Zaidi »
Bunge

Mpango kuupandisha hadhi Mji Mdogo Mlandizi waelezwa

DODOMA; HALMASHAURI ya Wilaya ya Kibaha imeelekezwa kufanya michakato iliyoainishwa kwenye sheria na mwongozo wa uanzishwaji wa maeneo ya utawala.…

Soma Zaidi »
Bunge

Maeneo yanayofaa mradi umeme wa upepo, jua yatajwa

DODOMA; SERIKALI imesema kupitia Sera ya Taifa ya Nishati ya mwaka 2015, imeweka mkazo wa kuendeleza vyanzo vya nishati jadidifu…

Soma Zaidi »
Bunge

Utaratibu biashara pembezoni mwa barabara waelezwa

DODOMA; SERIKALI imesema imeweka utaratibu kwa ajili ya wafanyabiashara wenye nia ya kutumia maeneo yaliyopo pembezoni mwa barabara. Naibu Waziri…

Soma Zaidi »
Bunge

Vikundi 24,064 vyanufaika mafunzo usimamizi mikopo

DODOMA; SERIKALI imesema kipindi cha kuanzia Julai, 2024 hadi Januari 2026, jumla ya vikundi 24,064 vimepatiwa mafunzo ya usimamizi wa…

Soma Zaidi »
Bunge

‘Nyumba 2,500 zimelipwa fidia Mradi Mto Msimbazi’

DODOMA; SERIKALI imesema Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi, unatarajia kuhamisha nyumba zaidi ya 3,000, ambapo hadi sasa nyumba 2,500…

Soma Zaidi »
Featured

Daladala zapigwa ‘pini’ unyanyasaji wanafunzi Dar

DODOMA; WAZIRI wa Uchukuzi, Prof Makame Mbarawa ametoa maagizo kadhaa kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA kuhakikisha yanatekelezwa ili…

Soma Zaidi »
Bunge

Serikali yazungumzia utekelezaji kiwanda cha saruji Kasulu

DODOMA; SERIKALI imesema kasi ya utekelezaji wa mradi wa kiwanda cha saruji cha Kasulu imekuwa ndogo, hivyo inataka utekelezaji wake…

Soma Zaidi »
Biashara

Waziri Kapinga: DSE kukuza mitaji wafanyabiashara

DODOMA; USHIRIKIANO wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) utaziwezesha biashara nyingi…

Soma Zaidi »
Back to top button