Na Mwandishi Wetu

Bunge

Wachaguliwa wenyeviti wapya wa Bunge

BUNGE la Tanzania limewachagua wenyeviti watatu wa bunge ambao watasaidia kuongoza vikao vya bunge kwa maelekezo ya Spika wa Bunge…

Soma Zaidi »
Diplomasia

China tayari kuboresha miundombinu ya Tazara

SERIKALI ya China imesema ipo tayari kuboresha miundombinu ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) iwe na tija zaidi. Naibu…

Soma Zaidi »
Jamii

Hakimu ajitoa kesi uhalifu Kanisa Kuu Geita

HAKIMU Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita, Cleofas Waane amejitoa kuendelea kusikiliza kesi ya uvamizi na uhalifu katika…

Soma Zaidi »
Africa

Ruto ataka Bunge kutafakari hoja za Raila

RAIS William Ruto wa Kenya ameanza kushughulikia madai ya kinara wa upinzani, Raila Odinga na hali hiyo imefanya kusitishwa kwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Mradi wa maji kunufaisha wakazi 3,465 Mtwara

WAKAZI  3,465 watanufaika na mradi wa ujenzi wa maji, ambapo kati ya hao 1,593 kutoka Kijiji cha Mwindi na 1872…

Soma Zaidi »
Jamii

Wapendekeza sheria ya ugaidi ipitiwe upya

CHAMA cha Wanasheria nchini (TLS) kimependekeza kuboreshwa na kupitiwa upya  sheria ya ugaidi kwa sababu sheria hiyo haisemi nini maana…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Kuwe na jukwaa moja watekelezaji haki jinai’

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amependekeza ushirikiano, ushirikishwaji wa jukwaa moja litakalohusisha watekelezaji wa majukumu ya haki…

Soma Zaidi »
Kanda

Upanuzi wa Bandari ya Tanga wapaisha mapato

BANDARI ya Tanga imefanikiwa kukusanya mapato ya Sh bilioni tano katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Machi mwaka huu. Hayo…

Soma Zaidi »
Kanda

AMDT kuendeleza ubia uzalishaji mbegu za alizeti

TAASISI ya Kuboresha Mifumo ya Masoko Tanzania (AMDT), imeahidi kuendeleza ubia wa kuzalisha mbegu za alizeti nchini ikiwa ni pamoja…

Soma Zaidi »
Dodoma

‘Tumieni vitabu vyenye ithibati ya Kamishna wa Elimu’

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dk Aneth Komba amewataka walimu kuhakikisha wanatumia vitabu vya kiada na ziada…

Soma Zaidi »
Back to top button