Na John Gagarini, Kibaha

Afya

Vituo bubu tisa vyanaswa vikitibu wagonjwa

VITUO 26 vya kutolea huduma za afya mkoani Pwani vimefungiwa. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Gunini Kamba alisema hayo…

Soma Zaidi »
Biashara

TRC yajivunia kujenga reli ya kisasa ndefu Afrika

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika inayojenga reli ya…

Soma Zaidi »
Kanda

Majaliwa: Tumsaidie Samia kupata wasaidizi waadilifu

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan anaguswa na suala la maadili hasa kwa vijana. Majaliwa amesema hayo…

Soma Zaidi »
Jamii

Tume ya IGP yawasili Chato

MAOFISA kutoka Ofisi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) wamefika kijiji cha Mganza wilayani Chato…

Soma Zaidi »
Dini

Mwamposa:Mila na desturi kukabili mmomonyoko wa maadili

KIONGOZI wa kanisa la Inuka Uangaze, Boniface Mwamposa amesema agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwa kila mwananchi azingatie mila…

Soma Zaidi »
Afya

Walioathirika gari la gesi kupelekwa Muhimbili

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu mwishoni mwa wiki amekwenda katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo kuwajulia hali…

Soma Zaidi »
Kanda

Serikali yapewa ushauri kuokoa fedha magerezani

WATAALAMU wa sheria wameishauri serikali irekebishe sheria ya haki jinai ikiwemo ya upelelezi ili kudhibiti wahamiaji haramu wasiingie nchini na…

Soma Zaidi »
Kanda

Sheria ya manunuzi yatajwa wizi serikalini

WACHAMBUZI wa masuala ya uchumi na siasa wameishauri serikali ifanye tathmini ya sheria ya ununuzi, mifumo ya maadili ya utumishi…

Soma Zaidi »
Jamii

Wapongeza mradi wa maji Mtwara

WAKAZI wa mtaa wa Mangamba ‘Airport’ , uliopo Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, wameishukuru serikali kwa kuwapelekea mradi wa…

Soma Zaidi »
Sanaa

Dude asikitishwa kuzushiwa kifo

MWIGIZAJI Kulwa Kikumba ‘Dude’ amesema amesikitishwa na kitendo cha mwanamuziki wa singeli, Dulla Makabila kumzushia kifo jana kitendo ambacho kiliwashtua…

Soma Zaidi »
Back to top button