Na Amina Omari,Tanga

Kanda

Wasiopeleka watoto shule kusakwa nyumba kwa nyumba

MKUU wa Wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa, amesema atafanya msako wa nyumba kwa nyumba, ili kubaini wazazi ambao wameshindwa kuandikisha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Azam waitaka Yanga Nusu Fainali Mapinduzi

YANGA leo usiku itacheza mchezo wake wa mwisho hatua ya makundi Kombe la Mapinduzi dhidi ya Singida Big Stars, lakini…

Soma Zaidi »
Kanda

Bashungwa: Mtwara hali ni shwari, pigeni kazi

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amewahakikishia wananchi mkoani Mtwara kuwa hali ya usalama ni shwari,…

Soma Zaidi »
Afya

‘Wagonjwa wasikimbie vipimo mashine ya mionzi’

WATOA huduma kitengo cha mionzi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza, Sekou Toure, wamesema changamoto kubwa wanayokumba nayo ni…

Soma Zaidi »
Kanda

Majaliwa akagua mradi wa ujenzi Hospitali Namtumbo

WAZIRI MKUU,  Kassim Majaliwa leo Januari 6, 2023 ametembelea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa hospitali…

Soma Zaidi »
Kanda

Aweso amsimamisha kazi Meneja Ruwasa Kilosa

WAZIRI wa Maji  Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya…

Soma Zaidi »
Biashara

Mauzo ya nyama nje yaongezeka

MAUZO ya nyama nje ya nchi kwa kipindi cha Julai hadi Desemba 15 mwaka jana yalifikia tani 5,158.93 sawa na…

Soma Zaidi »
Podcast

HABARI KUU; Januari 5, 2023

Mkusanyiko wa habari kuu zilizotufikia katika chumba cha HabariLEO Januari 5, 2023.

Soma Zaidi »
Zanzibar

‘Vijana ni nguzo muhimu maendeleo ya uchumi’

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kushirikiana na vijana katika  kufanya kazi za ujenzi wa maendeleo ya taifa…

Soma Zaidi »
Kanda

REA wazindua mradi wa Sh Bil 11 Mtwara

MRADI wa kusambaza Umeme kwenye maeneo yenye sifa za Vijiji na pembezoni mwa Miji, Majiji ulio chini ya Wakala wa…

Soma Zaidi »
Back to top button