Na John Nditi, Morogoro

Kanda

Waziri Aweso atumia bodaboda kukagua mradi wa maji

WAZIRI wa Maji , Jumaa Aweso ametumia usafiri wa pikipiki (bodaboda), kutembelea na kukagua mradi mkubwa maji wa Morong’anya uliopo…

Soma Zaidi »
Siasa

Dodoma wapongeza kuruhusiwa mikutano ya vyama

MKOA wa Dodoma umempongeza Rais  Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa katazo la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.…

Soma Zaidi »
Kanda

RC Kagera ataka mkandarasi amalize kazi kwa wakati

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amemtaka mkandarasi wa barabara ya Bugene-Burigi Chato kilometa 60, kufanya kazi ndani ya…

Soma Zaidi »
Kanda

Viongozi wa dini waonya ushoga, usagaji

VIONGOZI wa dini Mkoa wa Arusha, wameonya jamii kuhusu suala la kuiga tamaduni za baadhi ya nchi za kimagharibi na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kesi ya wanaodaiwa kuvujisha mtihani yanguruma 

UPANDE wa mashitaka katika kesi ya kuvujisha mtihani wa taifa wa darasa la saba mwaka 2022, inayowakabili watu tisa umedai upelelezi…

Soma Zaidi »
Jamii

Baba atupa maiti ya kichanga jalalani

BABA mmoja asiyefahamika ameripotiwa kutupa mwili wa mtoto mchanga jalalani kando ya Uwanja wa CCM Kalangalala mjini Geita, muda mfupi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba kushusha mashine ya hatari!

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally ameeleza kuwa timu hiyo inaendelea na mchakato wa usajili…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Mshitakiwa alitambuliwa katika gwaride la utambuzi’

MKAGUZI Msaidizi wa Jeshi la Polisi katika Kituo cha Kijitonyama, Jesca Malia (37), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi…

Soma Zaidi »
Kanda

Wilaya Tanganyika wapo kamili maandalizi kidato cha kwanza

Wanafunzi 3000 wanatarajia kuanza kidato cha kwanza Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, huku serikali ikisema maandalizi ya kuwapokea yamekamilika. Kauli…

Soma Zaidi »
Jamii

Wataka bima ya afya itumike huduma za kuhifadhi maiti

WANANCHI mkoani Mwanza wameomba uendelevu wa huduma za bima ya afya kwa maiti pale mwanachama anapofia hospitalini, badala ya uanachama…

Soma Zaidi »
Back to top button