Brighter Masaki

Sanaa

Wasanii washindwe wenyewe tu!

DAR ES SALAAM: Filamu zaidi ya 120 za wasanii wa Tanzania zimenunuliwa na chanel mpya ya St Swahili Plus chini…

Soma Zaidi »
Afya

Ummy: Acheni matumizi holela ya dawa

TANGA: Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameitaka jamii kuacha matumizi holela ya dawa za antibiotik ili kuepuka usugu wa vimelea…

Soma Zaidi »
Jamii

Serikali yajenga daraja Ruhembe

MOROGORO: WANANCHI wa Kata za Ruhembe, Kidodi, Uwembe, Vidunda, Mikumi na Kilolo waliokuwa wakiteseka kwa muda mrefu kusafiri umbali mrefu…

Soma Zaidi »
Infographics

Wizara ya Viwanda yaomba kuidhinishwa Sh bil 110.9

DODOMA: WIZARA ya Viwanda na Biashara imeliomba Bunge kuidhinisha bajeti ya Sh bilioni 110.9 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 ili…

Soma Zaidi »
Afya

‘Watanzania changieni damu uhitaji ni mkubwa’

DAR ES SALAAM: MPANGO wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) umewahamiza watanzania kujitolea kuchangia damu ili kutatua changamoto ya upatikanaji…

Soma Zaidi »
Biashara

DC Lushoto ataka mikakati mazao ya biashara

TANGA: MKUU wa Wilaya ya Lushoto, mkoani Tanga Japhari Kubecha amewaelekeza maofisa kilimo wa wilaya hiyo kuandaa mpango mkakati wa…

Soma Zaidi »
Jamii

RC Mtanda: lipeni bili za maji

MWANZA: MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa wito kwa watumiaji wa huduma ya maji mkoani Mwanza pamoja na…

Soma Zaidi »
Jamii

Vijana Mbogwe watakiwa kumlinda na kumtetea Rais Samia

GEITA: Vijana wa Mbogwe mkoani Geita wametakiwa kuunga mkono jitihada za maendeleo zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni…

Soma Zaidi »
Jamii

Maharage meusi hayasababishi gesi tumboni

ARUSHA: WATAFITI wameshauriwa kutumia maharage meusi kwa ajili ya kutengenezea mbegu za maharage ambayo hayasababishi gesi tumboni. Ushauri huo umetolewa…

Soma Zaidi »
Jamii

Fursa kimaisha zimeongezeka – Paulina Onna

DAR ES SALAAM: MKE wa msanii Dogo Janja anayejulikana kwa jina la Paulina Onna maarufu ‘Quenlinnatotoo’amesema amesema baada ya kupata…

Soma Zaidi »
Back to top button