Ismaily Kawambwa

Tanzania

DART wapata tiba foleni, vituo vya mwendokasi

DAR ES SALAAM: MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Dk Athumani Kihamia amesema jumla ya mageti janja…

Soma Zaidi »
Jamii

JKT na mkakati kupunguza Uhaba wa mafuta ya kula

KIGOMA: MKUU wa Tawi la Utawala wa jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena amesema Jeshi hilo linaendelea…

Soma Zaidi »
Jamii

Mustafa Mkulo afariki dunia

TANZIA: Waziri wa zamani wa Fedha, Mustafa Mkulo amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa ya familia, inasema Mkulo ambae aliwahi…

Soma Zaidi »
Jamii

Wafungwa 44 kufanya mtihani wa darasa la nne

MOROGORO:  VIJANA 44 ambao ni wafungwa katika Gereza la Wami Vijana mkoani Morogoro wanatarajiwa kufanya mtihani wa Taifa wa darasa…

Soma Zaidi »
Jamii

DPP: Sabaya sasa yupo huru

ARUSHA: MKURUGENZI wa Mashtaka Nchini (DPP), ameondoa Rufaa yake katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha dhidi ya kesi ya uhujumu uchumi…

Soma Zaidi »
Afya

Utalii matibabu, wagonjwa Sierra Leone kutibiwa JKCI

DAR ES SALAAM: Wagonjwa wa Moyo kutoka nchi ya Sierra Leone watakuja kutibiwa hapa nchini hii ikiwa ni matunda ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Watuhumiwa zaidi ya 300 mbaroni kwa uhalifu

MBEYA:  Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 324 kwa tuhuma za kujihusisha na magenge ya uhalifu ikiwemo mauaji,…

Soma Zaidi »
Jamii

TANGAUWASA yakusanya Sh bilioni 54.7 mauzo hatifungani

TANGA: Mamlaka yetu ya Maji Tanga (TANGAUWASA) imefanikisha mauzo ya asilimia 103 ya Hatifungani ya Kijani ya miundombinu ya maji…

Soma Zaidi »
Jamii

Elimu Watoto njiti yaingizwa mtaala mpya wa elimu

DAR ES SALAAM: Elimu ya Watoto Njiti imeingizwa kwenye mtaala mpya wa elimu na sasa litaanza kufundishwa katika shule za…

Soma Zaidi »
Jamii

Serikali yazindua miradi huduma za ukunga

DAR ES SALAAM: SERIKALI imezindua miradi wa kuimarisha huduma za ukunga kwa mikoa ya Dar es Salaam na Shinyanga unaolenga…

Soma Zaidi »
Back to top button