Mwandishi wetu, Bungeni Dodoma

Bunge

Serikali yavuna zaidi ya Sh bilioni 7 SWICA

DODOMA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amesema katika kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii, wizara yake imefanikiwa…

Soma Zaidi »
Afya

Samia: Uzazi isiwe huzuni kwa familia

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema familia zinastahili kufurahi anapozaliwa mtoto badala ya kuhuzunika. Ameeleza hayo kupitia ukurasa…

Soma Zaidi »
Bunge

Wawekezaji kimkakati ruksa kuomba uraia

DODOMA: SERIKALI imesema ipo tayari kutoa uraia kwa wawekezaji wa miradi ya kimkakati. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa msimamo huo…

Soma Zaidi »
Afya

Maabara ya JKCI yatangazwa ubora duniani

DAR ESSALAAM: MAABARA ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) imepata ithibati ya kimataifa (ISO 15189:2012) ya kutambuka kama maabara…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

FCC yajipanga hofu ya mlaji matumizi ya akili bandia

DAR ES SALAAM: Tume ya Ushindani nchini (FCC) imesema walaji wanahofu kuhusu matumizi ya akili bandia(mnemba) katika utoaji wa huduma…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Zanzibar, Norway kuimarisha ushirikiano

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kushirikiana na Serikali…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Gamondi auwaza mziki wa Azam

DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema licha ya kuwa na msimu mzuri bado wana kazi ngumu…

Soma Zaidi »
Bunge

Spika ‘apiga pini’ kuteta na Waziri Mkuu bungeni

DODOMA; SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson, amezuia wabunge na mawaziri kwenda kuzungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu…

Soma Zaidi »
Bunge

‘Tujiandae kwa fursa AFCON 2027’

DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kujiandaa na fursa mbalimbali kwa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwaka…

Soma Zaidi »
Bunge

Majaliwa: Wapeni mikopo wenye hati za kimila za ardhi

DODOMA: SERIKALI imetoa wito kwa taasisi za kifedha ikiwemo benki kutoa fusa mbalimbali ikiwemo mikopo kwa wananchi wenye hati za…

Soma Zaidi »
Back to top button