Shununa Haji

Dodoma

Sh mil 72 zafidia mitaa 15 Bunda

DODOMA: KATIKA mwaka wa fedha 2023/2024 serikali imekwishalipa zaidi ya Sh milioni 72 kwa wahanga 299 kwa takriban mitaa 15…

Soma Zaidi »
Tanzania

Jela miaka 30 kwa kumbaka ajuza

WANGING’OMBE, Njombe: MAHAKAMA ya Wilaya ya Wanging’ombe Mkoa wa Njombe imemhukumu Elias Thomas Mwanzalila (miaka 30) mkazi wa Mtaa wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Michuano ya vijana Afrika yarindima Unguja

UNGUJA, Zanzibar: UFUNGUZI wa Mashindano ya Afrika ya mpira wa miguu kwa vijana chini ya umri wa miaka 15 ‘African…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yaahidi jambo Shule ya Miwa

KILOSA, Morogoro: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameahidi kupeleka…

Soma Zaidi »
Afya

Jenereta yashindwa kutumika hospitali kwa kukosa chumvi, mkaa

BUSEGA, Simiyu: MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda ametoa siku tano kwa Mkuu wa Wilaya ya Busega, Faidha…

Soma Zaidi »
Madini

‘Changamkieni fursa sekta ya madini’

ARUSHA: WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji katika sekta ya madini ili kuupiga jeki uchumi wa taifa kwa kutengeneza…

Soma Zaidi »
Biashara

‘Rumbesa chanzo kipato kushuka’

KIBAHA, Pwani: WAKALA wa vipimo mkoani Pwani, imewaonya wafanyabishara kuacha mara moja tabia ya kuendelea kuvunja sheria kwa kutumia vipimo…

Soma Zaidi »
Afya

Watumia njia za uzazi waongezeka 150% Nzega

NZEGA, Tabora: MATUMIZI ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango yameongezeka katika Zahanati ya Ubinga, Kijiji cha Ubinga wilayani Nzega…

Soma Zaidi »
Siasa

Ndolezi ashauri nguvu zaidi kwenye teknolojia

DAR ES SALAAM: WAZIRI Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira wa Chama cha ACT Wazalendo,…

Soma Zaidi »
Siasa

Ndolezi: Kunahitajika Baraza la Vijana la Taifa

DAR ES SALAAM: WAZIRI Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira wa Chama cha ACT Wazalendo,…

Soma Zaidi »
Back to top button