Ismaily Kawambwa

Dodoma

Majaliwa aagiza nguvu zaidi Rufiji

MLIMWA, Dodoma: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Timu ya Mawaziri itakwenda Wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani kuungana…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Aprili 10 ni Eid al Fitri’

DAR ES SALAAM: MUFTI Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally amethibitisha mwandamo wa mwezi wa Shawwal. Akitoa taarifa…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Mvua si kikwazo tena kwa bodaboda

DAR ES SALAAM: UBUNIFU na usasa humsaidia mwanadamu kuvumbua njia kadha wa kadha ili kutatua adha na changamoto zinazomkabili katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

TFS wahimizwa ubunifu, maadili

MOSHI, Kilimanjaro: KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Hassan Abbasi amewaasa watumishi wapya wa Wakala wa Huduma…

Soma Zaidi »
Tanzania

Nembo rasmi Miaka 60 ya Muungano

DODOMA: PICHANI ni Nembo rasmi ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano. Siku 18 pekee zimesalia kuelekea katika kilele cha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watanzania watatu waokolewa meli iliyozama DRC

DAR ES SALAAM; SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), limesema watu 17 wameokolewa katika tukio la kuzama Meli ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Msigwa, Serera wakagua ujenzi Malya

MWANZA: KATIBU Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa na Naibu Katibu Mkuu Dk Suleiman Serera leo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwamba huyu hapa Arusha

ARUSHA: MKUU wa Mkoa wa Arusha (RC), Paul Makonda amewasili mkoani Arusha. Amepokelewa na viongozi wa serikali akiwemo Katibu Tawala…

Soma Zaidi »
Madini

Waitahadharisha serikali harufu ya upigaji migodini

MIRERANI, Arusha: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ameshauriwa na wamiliki wa migodi ya madini ya Tanzanite kuwa macho dhidi ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Majogoo vs Mashetani kuumana EPL

ENGLAND: LIGI Kuu nchini England (EPL) leo mtoto hatumwi dukani, Majogoo wa Anfield Liverpool watakuwa wageni wa Mashetani Wekundu, Manchester…

Soma Zaidi »
Back to top button