Kulthum Ally

Kimataifa

Qatar yafikia hatua za mwisho ya mazungumzo ya Gaza

DOHA : QATAR ambayo ndio mpatanishi mkuu katika mazungumzo ya kumaliza vita vya Gaza na kuwachiliwa mateka yamefikia leo hatua…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mambo yameanza makombora yajaribiwa

KOREA KUSINI : SERIKALI ya Korea Kusini imesema kuwa Korea Kaskazini imefyatua makombora ya majaribio ya masafa mafupi kuelekea baharini,…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Trump kukutana Putin baada ya kuapishwa

MAREKANI : RAIS mteule wa Marekani Donald Trump amesema atakutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin  haraka iwezekanavyo baada ya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Moto Los Angeles waua watu 24

MAREKANI: IDADI ya watu waliokufa kutokana na moto wa nyika ulioanza tangu Januari 7 huko Los Angeles, Marekani, imefikia 24.…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mjadala bado mzito Gaza

QATAR: WAPATANISHI wa Marekani na mataifa ya Kiarabu wamepiga hatua kubwa kuelekea makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Kaya elfu tatu zakimbia makazi Sudan

SUDAN : SHIRIKA la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (IOM) limetangaza kuwa maelfu ya watu wameukimbia mji wa Um Rawaba…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Trump Putin watarajia kufanya mazungumzo kwa simu

MAREKANI : RAIS mteule wa Marekani, Donald Trump, na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, wanatarajiwa kufanya mazungumzo kwa njia ya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Biden Netanyahu wajadili kusitisha mapigano Gaza

MAREKANI : WAZIRIMKUU wa Israel, Benjamin Netanyahu, na Rais wa Marekani, Joe Biden, wamezungumzia jitihada zilizofanyika za kufikia makubaliano ya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

PSM yaongeza viti vya wabunge Chad

CHAD : CHAMA tawala cha Patriotic Salvation Movement (PSM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa bunge wa mwezi Desemba nchini…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Chama Tawala chaongeza viti vya wabunge

CHAD : CHAMA tawala cha Patriotic Salvation Movement (PSM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa bunge wa mwezi Desemba nchini…

Soma Zaidi »
Back to top button