Na Mwandishi wetu

Kimataifa

Harambee yafunguliwa kuisaidia Lebanon

PARIS: RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron leo amefungua mkutano wa harambee kuisadia Lebanon mjini Paris, kuchangisha mamilioni ya dola na…

Soma Zaidi »
Kimataifa

M23 wavamia Kalembe

CONGO : WAASI wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji unaozozaniwa wa Kalembe, mashariki mwa Kongo, katika kile kilichotajwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Msumbiji wapanga maandamano

MSUMBIJI : TUME ya uchaguzi nchini Msumbiji inatarajiwa kutangaza matokeo ya uchaguzi wa rais na bunge uliofanyika 9 Oktoba mwaka…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Watano wapoteza maisha Uturuki

UTURUKI : WATU  watano wameuawa katika shambulizi linalotajwa na serikali ya Uturuki kuwa ni la kigaidi kwenye Makao Makuu ya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Tinubu awatimua mawaziri watano

NIGERIA : RAIS wa Nigeria Bola Tinubu amewafukuza kazi mawaziri watano na kuwateua wapya saba katika mabadiliko ya baraza la…

Soma Zaidi »
Tanzania

Milioni 400 kukabiliana mabadiliko ya tabianchi

TANGA : KUFUATIA changamoto ya athari ya mabadiliko ya tabia nchi kwenye maeneo ya ukanda wa bahari ya Hindi Wilayani…

Soma Zaidi »
Tanzania

TMA yakabidhiwa rada mbili

DAR-ES-SALAAM : MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekabidhiwa rasmi ya rada zake mbili za hali ya hewa zilizopo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali kuongeza pato la taifa asilimia 15

DAR ES SALAAM: SERIKALI imepanga kuongeza kiwango cha pato la taifa kufikia asilimia 15 ifikapo mwaka 2026/2027, katika jitihada za…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Israel yashambulia Taasisi za Hezbollah

LEBANON : JESHI la Israel limefanya mashambulizi ya anga yaliyolenga taasisi ya fedha inayodaiwa kuhusika kwa ufadhili wa silaha za…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mapigano yameanza upya Congo

CONGO :  MAPIGANO yamezuka tena kati ya waasi wa M23 na wanamgambo wanaoungwa mkono na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia…

Soma Zaidi »
Back to top button