Ikunda Erick

Gesi

Dk Gwajima ataka wanawake kutumia nishati safi kupikia

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima amewataka wanawake kuwa mstari wa mbele kuhamasisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Utangazaji redio kidijiti kuanza mikoa mitano

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema huduma za maudhui ya redio kidijiti (DSB) Tanzania zitaanza mikoa mitano. Mkurugenzi Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Dodoma

Mwigulu awaonya watumishi wazembe

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameonya watumishi wezi na wazembe. Dk Mwigulu alitoa onyo hilo aliposimama kusikiliza kero za wafanyabiashara…

Soma Zaidi »
Fedha

TMRC kuwawesha wananchi kupata makazi

SERIKALI imesema itaendelea kushirikiana na taasisi za fedha kuiwezesha sekta ya fedha kupata mikopo yenye gharama nafuu ili kuisaidia jamii…

Soma Zaidi »
Zanzibar

SMZ kuboresha usafiri wa anga

 SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza mikakati ya kuimarisha usafiri wa anga ikiwamo kuboresha Kiwanja cha Ndege cha Pemba.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mkandarasi kiwanda cha TSN aongezewa miezi 3

MKANDARASI anayejenga Kiwanda cha Uchapaji cha Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) ameongezewa miezi mitatu akamilishe kazi hiyo. Naibu Waziri…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Mradi wa Pamoja kunufaisha watu 41,000

KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi Zena Ahmed Said, amesema jumla ya wanufaika 41,000 kutoka…

Soma Zaidi »
Wanawake

Eng. Rose Mayembe: Sauti ya Tanzania Kimataifa katika Sekta ya Madini

KATIKA juhudi za Tanzania kuendelea kujitangaza kimataifa kupitia sekta ya madini, wanawake wa Kitanzania wameendelea kung’ara katika majukwaa mbalimbali ya…

Soma Zaidi »
Fedha

Ridhiwani : Tudumishe amani ya nchi

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais , Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Ridhiwani Kikwete, amewataka Watanzania kuendelea kudumisha amani, mshikamano…

Soma Zaidi »
Wanawake

Alama isiyofutika filamu za bongo

LEAH Mwendamseke maarufu kama Lamata alizaliwa na kukulia mkoani Mbeya, Tanzania, na tangu utotoni alionyesha kipaji cha kipekee cha kuandika…

Soma Zaidi »
Back to top button