Na Mwandishi wetu

Kimataifa

Papa Francis kukutana na viongozi wa dini

INDONESIA : KIONGOZI  wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anatazamiwa leo kusisitiza utangamano wa kidini, atakapokutana na viongozi wa dini…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Watu wanne wapigwa risasi Georgia

MAREKANI : WATU  wanne wameuawa baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 kufyatua risasi katika shule ya sekondari huko…

Soma Zaidi »
Afya

Chanjo ya mpox kuwasili Kongo

KONGO : SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo itapokea shehena ya kwanza ya dozi takribani 100,000 za chanjo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Shekhan Rashid kafiwa na baba yake

DAR=ES=SALAAM : Mchezaji wa zamani wa Klabu ya  Simba Sports  Club  na Moro United Shekhan Rashid amefiwa na baba yake…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM hatubebwi tumejipanga – Makalla

ARUSHA : CHAMA Cha Mapinduzi(CCM)kimesema kitaendelea kushinda chaguzi zake kwa haki na sio kwa kubebwa. Akizungumza katika mkutano maalum na…

Soma Zaidi »
Tanzania

SMZ kushirikiana na Indonesia Aid

INDONESIA : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amelipongeza na kulishukuru Shirika la…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Dkt Mwinyi awasili Jakarta

INDONESIA : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili jijini Jakarta na ujumbe…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Dymtro atangaza kujiuzulu

UKRAINE : SPIKA wa Bunge la Ukraine Ruslan Stefanchuk, amesema waziri wa mambo ya nje Dmytro Kuleba amewasilisha barua yake…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Bobi Wine kufanyiwa upasuaji

UGANDA : KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu Bobi Wine amepangwa kufanyiwa  upasuaji baada ya kudaiwa kupigwa…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM kutatua changamoto za wananchi

ARUSHA: KATIBU  wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC), Itikadi, Uenezi na , CPA Amos Makalla amewasili Mkoani Arusha tayari kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button