Na Mwandishi wetu

Tanzania

Majaliwa atoa maagizo kukuza biashara

DAR-ES-SALAAM: SERIKALI imeagiza wizara zinazohusika na viwanda, biashara na uwekezaji zihakikishe zinabuni mbinu za kukuza na kusaidia biashara ndogo na…

Soma Zaidi »
Tanzania

JK asifu mafanikio SGR

MOROGORO: RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Infographics

Munalove apata mtoto wa kiume

CANADA: Msanii wa filamu nchini, Rose Alphonce ‘Munalove’ amejifungua mtoto mwingine wa kiume baada ya kupitia maumivu na kejeli nyingi…

Soma Zaidi »
Infographics

Rubani apona ajali ya ndege Nepal

NEPALRubani huyo ambaye kwa sasa anapatiwa matibabu ndiye pekee aliyenusurika katika ajali hiyo mbaya. Rubani huyo ambaye kwa sasa anapatiwa…

Soma Zaidi »
Africa

Ruto awateua wapinzani uwaziri

KENYA: Rais wa Kenya, William Ruto amewateua baadhi ya viongozi wa upinzani katika baraza lake la mawaziri .na pia amerejesha mawaziri…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Maandalizi ya Grand Gala Dance Yameanza

DAR-ES-SALAAM: Msimu wa tatu wa Grand Gala Dance unatarajiwa kufanyika Agosti 30, 2024 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

East Africa Golf Tour kuanza Agosti

DAR-ES-SALAAM: Shindano la wazi la Mchezo wa Gofu”KCB  East Africa Golf Tour” Linatarajiwa kufanyika Agosti 3 katika Klabu ya Jeshi…

Soma Zaidi »
Dodoma

CCM yaridhishwa utekelezaji miradi ya bil 600/-

DODOMA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, kimeridhishwa na utendaji kazi wa serikali baada ya kutembelea na kukagua miradi…

Soma Zaidi »
Fursa

Kaya maskini 300 zawezeshwa kiuchumi

DODOMA: MRADI wa Kuwajengea Uwezo Wenye Ulemavu wanaoishi katika Kaya Maskini (DIG) katika Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, umesaidia kuzijengea…

Soma Zaidi »
Tanzania

Nida yaita wenye vitambulisho vilivyofutika

DAR-ES-SALAAM: MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wananchi ambao vitambulisho vyao vimepata hitilafu ya kufutika maandishi wavirejeshe katika ofi…

Soma Zaidi »
Back to top button