Dotto Lameck

Tanzania

Dodoma FC wapata ajali Lindi

BASI lililobeba wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Dodoma Jiji limepinduka na kutumbukia mtoni katika eneo la Nangurukuru…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Mwinyi amtembelea mwalimu Aliyani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwanazuoni Maarufu Zanzibar Sheikh Ali…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Miili 50 iliyozikwa pamoja yagundulika Libya

LIBYA: MAMLAKA ya Libya imegundua miili 50 iliyokuwa imezikwa kwa pamoja kwenye makaburi mawili katika Jangwa la Kusini upande wa…

Soma Zaidi »
Infographics

Israel, Hamas mambo safi

ISRAEL: ISRAEL na kundi la wanamgambo wa Hamas wamekamilisha zoezi la tano la kubadilishana mateka wa Israel kwa wafungwa wa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Aukana uraia agombee urais 

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti…

Soma Zaidi »
Fedha

TRA yakusanya bil 116/- Mtwara

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Mtwara imefanikiwa kukusanya Sh bilioni 116 kwa mwaka fedha 2023/2024. Hayo yamejiri wakati wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia asikitishwa kifo cha Sam Nujoma

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Rais Muasisi wa Taifa la Namibia, Dk Sam Nujoma…

Soma Zaidi »
Featured

Sam Nujoma afariki dunia

NAMIBIA: SAM Nujoma, kiongozi wa mapinduzi aliyeongoza Namibia kupata uhuru mwaka 1990 na kuhudumu kama rais wa kwanza kwa miaka…

Soma Zaidi »
Afya

Burkina Faso waiomba JKCI ujuzi matibabu ya moyo

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Burkina Faso kupitia washauri wa rais na madaktari bingwa, wamefika nchini Tanzania kuingia makubaliano ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tawa yakabidhi madawati ya Sh mil 25/- shule msingi, sekondari

SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Sh millioni 25.9 kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button