Brighita Masaki

Tanzania

Wajasiriamali wanawake, vijana mipakani kuwezeshwa

SHIRIKA la Foundation For Civil Society (FCS) limeingia makubaliano ya miaka miwili na Benki ya Stanbic Tanzania kupitia mradi wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Gidion jela kwa kumkata Thomas vidole

MAHAKAMA ya Wilaya ya Iramba imemuhukumu Gidion Soza ,22, mkazi wa kijiji cha Mingela-Shelui, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ajali ya New Force 12 wajeruhiwa Bwawani

BASI la New Force lililokuwa likitokea Tunduma kuelekea Dar es Salaam limepata ajali katika eneo la Bwawani, Chalinze mkoani Pwani…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Wafungwa hatari wazidi kuongezeka Marekani

MAREKANI imeongeza maradufu idadi ya wafungwa wanaodhaniwa kuwa tishio kubwa pamoja na wale wanaosubiri kurejeshwa makao kwenye kituo cha jeshi…

Soma Zaidi »
Utalii

Tanzania mwenyeji jukwaa la kimataifa utalii wa vyakula

TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Pili wa Utalii wa Vyakula wa Shirika la Utalii Duniani Kanda ya Afrika…

Soma Zaidi »
Tanzania

TLS wakata kauli ya serikali kukamatwa vyombo vya dola

LINDI: CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Ipilinga Panya amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutoa kauli ya katazo kwa vyombo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanaume washauriwa kuwaruhusu wake zao ufundi chuma

JAMII katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara hususani wanaume wanaoishi na wanawake wenye fani mbalimbali ikiwemo ufundi chuma, wameshauri…

Soma Zaidi »
Infographics

Watu 200 wauawa katika mashambulizi ya Sudan

ASKARI wa Sudan wameripotiwa kuwauwa zaidi ya watu 200 wakiwemo wanawake na watoto, katika siku tatu za mashambulizi kwenye vijiji…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Burundi yakanusha kuondoa wanajeshi wake DR Congo

SERIKALI ya Burundi imekanusha taarifa zinazodai kuwa inawaondoa wanajeshi wake kutoka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waliokuwa wameenda…

Soma Zaidi »
Tanzania

Lukuvi, wadau sekta binafsi wateta

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi amekutana na kufanya mazungumzo…

Soma Zaidi »
Back to top button