Rahimu Fadhili

Tanzania

Sh bilioni 755 zatekeleza miradi Kilimanjaro

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin babu amesema serikali imetoa zaidi ya Sh bilioni 755 katika kipindi cha miaka miwili…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Dk Ndumbaro apokea hati uwanja utakaopigwa Afcon

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la Olmoth Jijini Arusha, eneo ambalo litajengwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Kuta Tunisia zaporomoka na kuua watatu

WATU watatu wamekufa baada ya sehemu ya kuta za kihistoria kuzunguka Mji Mkongwe wa Kairouan nchini Tunisia kuporomoka. Maafisa wanasema…

Soma Zaidi »
Africa

Wahofiwa kufa baada ya kituo cha mafuta kuwaka moto

WATU kadhaa wanahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea katika kituo cha mafuta mji mkuu wa Conakry nchini Guinea…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Droo 16 bora Uefa hewani

HATUA ya 16 bora ya michuano ya Ligi ya Mabingwa imetoka mchana huu ambapo ratiba inaonesha kama ifuatavyo. Mabingwa watetezi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watakiwa kuhifadhi historia ya jamii, taifa

WANA Historia nchini wameagizwa kutumia taaluma na utaalamu wao kwa ajili ya kutoa maelezo sahihi kuhusu mchakato wa ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Baba Afrika Entertainment kuja na mikakati mipya

KIKUNDI cha sanaa mkoani Arusha, Baba Afrika Entertainment kimeeleza kuja na mikakati mipya kwa ajili ya kuifikia jamii kwa wingi…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Marufuku kununua madini hotelini”

NAIBU Waziri wa Madini,Dk Steven Kiruswa amepiga marufuku wageni kutoka nje ya nchi kununuwa madini wakiwa hotelini kwani kwa kufanya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mkakati kuongeza uzalishaji mbegu bora waja

WANACHAMA wa Chama cha Taaluma ya Sayansi Kilimo Mazao Tanzania (CROSAT) ,wanakusudia kuweka mkakati endelevu utakaosaidia kuongeza kiwango cha uzalishaji…

Soma Zaidi »
Infographics

Kihenzile akabidhi vifaa tiba vya Sh bilioni 1.8 hospitali Mufindi

HOSPITALI ya Wilaya ya Mufindi imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya Sh Bilioni 1.8 kutoka kwa Mbunge wa…

Soma Zaidi »
Back to top button