John Mhala

Tanzania

Waliompiga askari kusakwa Monduli

MKUU wa Wilaya ya Monduli, Joshua Nassari amemwagiza Mkuu wa Polisi wa Wilaya hiyo (OCD) kuhakikisha anawakamata wote waliohusika kumpiga…

Soma Zaidi »
Infographics

Yanga yamnasa kiungo Mzanzibar

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo, Shekhan Ibrahim Khamis kutoka JKU ya Zanzibar kwa Mkataba wa miaka mitatu.…

Soma Zaidi »
Infographics

Samia: Simamieni sera kuendeleza rasilimali watu

DAR ES SALAAM: Rais, Samia  Suluhu Hassan amesema katika  kuisimamia vyema sera ya kuendeleza rasilimali watu ni vyema wanafunzi wanaofaulu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia: Necta tendeni haki

DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kutanguliza haki, akisisitiza haja ya nchi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

VAR kufungwa kwa Mkapa

HUENDA sasa waamuzi wa Ligi Kuu Bara wakashusha pumzi kutokana na makosa ambayo wamekuwa wakiyafanya kwenye baadhi ya michezo, baada…

Soma Zaidi »
Africa

Mwanahabari auawa Msumbiji

MWANDISHI wa habari kutoka Msumbiji, João Chamusse amekutwa ameuawa eneo la nyumba yake nje kidogo ya mji mkuu Maputo katika…

Soma Zaidi »
Africa

Dola bilioni 5 kuzalisha umeme Msumbiji

MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Nkunku yupo tayari

MENEJA wa Chelsea, Mauricio Pochettino amesema mshambuliaji Christopher Nkunku atakuwa sehemu ya kikosi kitakachomenyana na Sheffield United leo. Nkunku alijiunga…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Hersi aibukia tena CAF

IRINGA: BAADA ya kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Klabu za Afrika, Rais wa Yanga, Hersi Said sasa ameteuliwa kuwa…

Soma Zaidi »
Africa

Somalia yafutia deni la Dola milioni 4.5

SERIKALI ya Somalia imefanya sherehe katika mji mkuu wa Mogadishu, baada ya IMF na Benki ya Dunia kutangaza msamaha wa…

Soma Zaidi »
Back to top button