Na Lucy Lyatuu

Africa

EABC kukutanisha vigogo wa biashara Afrika Mashariki

BARAZA la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) kwa kushirikiana na Afreximbank linaandaa mkutano wa Wakuu wa Biashara na Uwekezaji wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mbunge EALA ataka Tanzania kuongoza usuluhishi Sudan

MBUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), James Millya ametaka Umoja wa Mataifa (UN) kuunda timu itakayosaidia kuondoa…

Soma Zaidi »
Fedha

IMF yatabiri uchumi wa Tanzania kuongoza EAC

RIPOTI ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imesema katika miaka kumi ijayo, uchumi wa Tanzania utakua kwa kasi kuliko Kenya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Atangaza vipaumbele vitano vya mazingira

OFISI ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira katika mwaka wa fedha 2023/24 imepanga kutekeleza vipaumbele vitano kikiwemo cha kusimamia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Zanzibar yapata gawio la bil 52/-

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dk Selemani Jafo amesema hadi mwezi uliopita Serikali ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tril 1.2/- kukabiliana na tabianchi

BENKI ya CRDB imekamilisha mchakato wa kupokea fedha Dola za Marekani milioni 500 (Sh trilioni 1.2) za mabadiliko ya tabianchi.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Jafo: Muungano unazidi kuimarika

SERIKALI imesema Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar umeendelea kuwa imara katika kipindi hiki unapotimiza miaka 59 tangu kuasisiwa Aprili…

Soma Zaidi »
Siasa

Asasi yazindua shindano la habari za mabadiliko

ASASI ya kiraia inayofanya uchechemuzi wa haki za kidijitali, demokrasia na uwajibikaji na utawala bora, Jamii Forum imezindua awamu ya…

Soma Zaidi »
Podcast

HABARI KUU; Aprili 24, 2023

Mkusanyiko wa Habari Kuu zilizotufikia katika chumba cha HabariLEO Aprili 24, 2023.

Soma Zaidi »
Tanzania

Jela kwa kumbaka mtoto wake

MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela Imani Mfilinge (46) baada ya kumkuta na hatia ya…

Soma Zaidi »
Back to top button