Na Waandishi Wetu, Dodoma

Featured

Bajeti ya tril 49/- kuleta nafuu

SERIKALI inatarajia kukusanya na kutumia Sh trilioni 49.35, sawa na ongezeko la asilimia 11.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2023/2024.…

Soma Zaidi »
Ulaya

Wananchi wapiga kura kuwauwa njiwa mjini

UJERUMANI – Wakaazi wa Limburg-an-der-Lahn wamepiga kura ya kuangamiza njiwa wote katika mji huo wa Ujerumani, wakidai idadi ya ndege…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Moto waua wafanyikazi 40 wa India huko Kuwait

KUWAIT – Takriban Wahindi 40 walikufa wakati moto mkubwa ulipozuka katika jengo la makazi katika mji wa Mangaf huko Kuwait…

Soma Zaidi »
Ulaya

Mkutano G7 kujadili kuhusu Afrika, AI

ITALIA – Viongozi wa G7 wanatarajiwa kujadili msururu wa changamoto za kimataifa wakati wa siku ya pili ya mkutano wao…

Soma Zaidi »
Featured

Ukraine yatawala mkutano wa G7 Italia

ITALIA – Mkutano wa Viongozi wa Kundi la Saba (G7) unaendelea leo nchini Italia huku suala la Ukraine likionekana kutawala…

Soma Zaidi »
Featured

Ujerumani kukiwasha dhidi ya Scotland leo

ERBIL – Michuano ya UEFA ya Soka ya Ulaya (Euro 2024) itaanza leo usiku saa nne, Ijumaa, Juni 14, 2024,…

Soma Zaidi »
Featured

Wadau wasifia bajeti kugusa wananchi

DODOMA – BAJETI ya Serikali ya mwaka 2024/2025 imewavutia wadau wengi ambao wamesifi a mambo mbalimbali yaliyoainishwa kwenye bajeti hiyo.…

Soma Zaidi »
Biashara

Kitila abainisha uthabiti kiuchumi, kifedha

DODOMA – SERIKALI imesema katika kipindi cha Julai mwaka jana hadi Machi mwaka huu urari wa malipo yote ya nje…

Soma Zaidi »
Featured

Mambo manne yatajwa kupaisha uchumi

DODOMA – PATO halisi la Taifa limefi kia Sh bilioni 148,399.76 mwaka 2023 kutoka Sh bilioni 141,247.19 mwaka 2022, sawa…

Soma Zaidi »
Uchumi

Tril 15.94/- kugharimia shughuli za maendeleo

DODOMA – SERIKALI imetenga Sh trilioni 15.94 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kugharamia shughuli za…

Soma Zaidi »
Back to top button