Na Mwandishi Wetu

Kanda

TBA yatumia kadi kubana wapangaji

WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) umeweka mfumo wa kidijiti kwenye kitasa janja usioruhusu mpangaji kuingia ndani kama anadaiwa. Waziri wa…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Mpango: NAM tushirikiane biashara, majanga

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amehimiza Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) ziendelee kuongeza ukuaji wa kiuchumi kwa kushirikiana…

Soma Zaidi »
Afya

MSD yaongeza upatikanaji dawa muhimu

BOHARI ya Dawa (MSD) imeeleza kuwa upatikanaji wa dawa muhimu nchini umeimarika kutoka asilimia 52 kipindi cha Januari mwaka jana…

Soma Zaidi »
Uchumi

Ongezeko la watu lisiathiri uchumi

SERIKALI imeshauriwa kuimarisha sekta binafsi kwa kuweka mazingira yatakayovutia uwekezaji wa ndani na nje ili ongezeko la watu lisiathiri ukuaji…

Soma Zaidi »
Kanda

CCM yapokea kilio bei ndogo ya alizeti

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitafi kisha katika mamlaka husika ombi la wananchi mkoani Singida kwamba serikali itoze kodi mafuta…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

TTF yatupilia mbali shauri la Feisal

KAMATI ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la soka TFF, limetupilia mbali shauri la mchezaji Feisal Salum na…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Putin adai Ukraine imeshambulia mpaka wa Urusi

Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema kundi la hujuma la Ukraine limeingia eneo la mpaka wa Urusi leo na kuwafyatulia…

Soma Zaidi »
Jamii

Watu 8 kati ya 100 wana vimelea vya Malaria Katavi

Imeelezwa kuwa watu 8 kati ya 100 mkoani Katavi wana vimelea vya Malaria. Utafiti uliofanywa mwaka 2022 kwenye ngazi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wasichana 6,685 waliokatisha masomo warejea shuleni

WASICHANA 6,685 wenye umri kati ya miaka 13 na 21 waliokatisha masomo ya sekondari kwa sababu mbalimbali ukiwemo ujauzito wamejisajili…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mtoto wa Ronaldinho asaini Barca

MTOTO wa Ronaldinho, joao Mendes amesaini mkataba wa kuitumikia klabu ya Barcelona, kwa mujibu wa mwandishi wa michezo Fabrizio Romano.…

Soma Zaidi »
Back to top button