Afya

Ummy atangaza mlipuko wa kipindupindu Dar

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuna mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika Mkoa wa Dar es Salaam ambapo wagonjwa…

Soma Zaidi »

Katavi wapata kituo huduma ya macho

WAKAZI wa Mkoa wa Katavi wameondokana na adha ya kusafiri nje ya mkoa kufuata huduma za matibabu ya macho. Akizungumza…

Soma Zaidi »

Hakuna visa vya Marburg – Waziri Ummy

MLIPUKO wa virusi hatari vya Marburg katika Mkoa wa Kaskazini-Magharibi mwa Tanzania- Kagera umedhibitiwa rasmi, lakini mamlaka itaendelea kufuatilia kwa…

Soma Zaidi »

Hakuna visa vya Marburg – Waziri Ummy

MLIPUKO wa virusi hatari vya Marburg katika Mkoa wa Kaskazini-Magharibi mwa Tanzania- Kagera umedhibitiwa rasmi, lakini mamlaka itaendelea kufuatilia kwa…

Soma Zaidi »

Mapitio kada ya afya kukamilika Mei

NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, wizara hiyo inakamilisha mapitio ya miundo ya kada za afya ambayo yanatarajiwa…

Soma Zaidi »

15 wafanyiwa upasuaji umeme wa moyo

JUMLA ya wagonjwa 15 wenye matatizo katika mfumo wa umeme wa moyo, wamefanyiwa upasuaji na wengine kuwekewa betri  kwa siku…

Soma Zaidi »

Huna tena sababu ya kunywa dawa za maumivu

KWA mara ya kwanza Afrika, teknolojia mpya ya mbadala wa dawa za maumivu imeanza kutumia katika Taasisi ya Tiba ya…

Soma Zaidi »

Zahanati yafungwa kwa kukosa watumishi

MADIWANI  wa Halmashauri ya  Wilaya ya Shinyanga  wamelalamikia hatua ya zahanati ya  Kijiji cha Bugogwa iliyopo kata ya Mwamala  kufungwa…

Soma Zaidi »

Asilimia 94 wana hatari kuambukizwa malaria

WAZIRI wa Afya ,Ummy Mwalimu amesema licha ya kupungua kwa vifo na maambukiza ya malaria nchini, bado asilimia 94 ya…

Soma Zaidi »

‘Tunahudumia wagonjwa 60 wenye kibiongo kwa mwaka’

WAGONJWA  60 wenye matatizo ya kibiongo hufika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), kwa ajili ya kupatiwa matibabu.…

Soma Zaidi »
Back to top button