Afya

Taasisi za umma zakumbushwa sheria ya usalama, afya

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, ameziagiza taasisi za umma…

Soma Zaidi »

Daktari asisitiza kunywa maji lita mbili kwa siku

DAKTARI Bingwa wa Magonjwa ya Moyo na Mkuu wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Upimaji wa Afya kwa Jamii wa…

Soma Zaidi »

Wananchi Kahama wachunguzwa saratani

WANANCHI 300 kutoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamefanyiwa uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi, matiti na tezi dume huku…

Soma Zaidi »

DC Mwenda ataka kipaumbele cha lishe Iramba

MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda ameiagiza Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba…

Soma Zaidi »

Sh milioni 78 kuchangia masuala ya lishe Msalala

HALMASHAURI ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga imetenga bajeti ya zaidi ya Sh milioni 78 kwa ajili ya kuchangia shughuli…

Soma Zaidi »

Wabobezi warejesha 100% sauti ya Maliki

DAR-ES-SALAAM : SAUTI ya mtoto Maliki Hashimu (6), mkazi wa Goba, Jijini Dar es Salaam imerejea kwa 100% baada ya…

Soma Zaidi »

“Bima ya Afya kwa wote itekelezwe haraka”

SERIKALI imeweka mkakati  kuhakikisha Bima ya Afya kwa Wote inaanza kutekelezwa haraka kwa kuwa imeshawekeza kwenye miundombinu, vifaa, vifaa tiba,…

Soma Zaidi »

Zijue sheria zitakazowatia hatiani wasambazaji picha chafu

DODOMA: WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima amewataka Watanzania kuungana katika kudhibiti vitendo viovu…

Soma Zaidi »

Daktari aeleza hatari maumivu ya kifua

MKURUGENZI wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group, Dk Tulizo Shemu amesema changamoto za maumivu makali…

Soma Zaidi »

Kambi maalum kuchunguza maumivu ya viungo

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) Upanga kwa kushirikiana na taasisi ya ROAD2IR ya nchini Marekani  itafanya kambi maalum ya uchunguzi…

Soma Zaidi »
Back to top button