Afya

Sh bilioni 11 kupunguza vifo vya wajawazito na watoto MNH

DAR ES SALAAM: SERIKALI chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imewekeza zaidi ya Sh bilioni 11 katika sekta ya afya…

Soma Zaidi »

Wataalamu watumie takwimu kuboresha huduma za afya

WITO umetolewa kwa wataalam wa afya kuzingatia matokeo ya utafiti wa afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya Malaria…

Soma Zaidi »

Mganga mkuu, mfawidhi wahamishwa kituo cha kazi Kahama

MKUU wa Mkoa Wa Shinyanga, Chiristina Mndeme ameagiza kuwaondoa kwenye kituo cha kazi Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya…

Soma Zaidi »

Tanzania, China kushirikiana matibabu ya moyo

NCHI za Tanzania na China zimekubaliana kuanzisha mfumo wa wa pamoja wa upatikanaji wa vifaa tiba. Vifaa hivyo  vinavyotumika kutoa…

Soma Zaidi »

Mtoto atolewa ‘screw’ kwenye mapafu

MTOTO mwingine ametolewa Skrubu (Screw) kwenye mapafu yake kwa kutumia kifaa chenye kamera na kwenda kuinasa na kisha kuito. Mtoto…

Soma Zaidi »

Nanyamba wapatiwa gari ya wagonjwa

HOSPITALI ya Halmashuri ya Mji wa Nanyamba mkoani Mtwara imekabidhiwa gari litalosaidia kubebea wagonjwa lenye thamani ya Sh milioni 240.…

Soma Zaidi »

Muhimbili yatoa shanga kwenye mapafu ya mtoto

MADAKTARI bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetoa shanga ya plastiki iliyokuwa imekwama katika pafu la kulia la mtoto…

Soma Zaidi »

“Wananchi chukueni tahadhari magonjwa ya macho”

DODOMA: WIZARA ya Afya imewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) maambukizi ya kirusi kwenye ngozi…

Soma Zaidi »

Chalamila: Usafi ufanyike kila wiki

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila awewaagiza watendaji wote wa serikali zoezi la kufanya…

Soma Zaidi »

Watu 200 kunufaika na Voda Bima Iringa

HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa imepokea msaada wa kadi za Bima ya Afya kwa mama na watoto 200…

Soma Zaidi »
Back to top button