Fedha

Waziri Mkuu: Vijana msiogope kukopa mitaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wasiogope kukopa ili kupata fedha za mitaji ya kibiashara lakini pia akawasisitiza wawe tayari…

Soma Zaidi »

Wanafunzi sekondari kufundishwa ujasiriamali

ZAIDI ya wanafunzi 1000 kutoka shule za sekondari Mkoa wa Mwanza, wanatarajia kunufaika na elimu ya ujasiriamali kutoka Chuo Cha…

Soma Zaidi »

Serikali yapongezwa kuamua tanzanite iuzwe Mirerani

MWENYEKITI wa Kamati ya Kitaifa ya Madini ya Tanzanite, Yusuph Money amesema serikali haikufanya makosa kuamua madini hayo ambayo hayajasanifiwa…

Soma Zaidi »

Benki yazindua akaunti maalum kuwainua wanawake wajasiriamali

KATIKA jitihada za kumkomboa mwanamke kiuchumi, Benki za Akiba (ACB) imezindua akaunti maalum kwa ajili ya wanawake wajasiriamali. Akizungumza katika…

Soma Zaidi »

TUMERAHISISHA: Huduma ya mikopo kwa wanawake kidijitali yazinduliwa

Benki ya Equity imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa kuzindua kampeni iliyojikita  kutoa suluhu kidigitali katika huduma zake kwa…

Soma Zaidi »

Serikali yashauriwa kudhibiti mikopo chechefu

WACHAMBUZI wa masuala ya kiuchumi wamesema kutokana na kuwapo mikopo mingi chechefu katika mifuko 52 ya uwezeshaji wananchi kiuchumi ni…

Soma Zaidi »

BoT yaonesha ukusanyaji mzuri wa mapato Januari

RIPOTI ya tathmini ya uchumi ya kila mwezi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa mwezi Februari imebainisha kuwa ukusanyaji…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuongeza ubunifu kuzifikia fursa

SERIKALI imewataka wajasiriamali wa bidhaa nchini kuelekeza nguvu zao katika ubunifu wa kidigitali ili kuweza kuzifikia fursa mbalimbali zenye kuongeza…

Soma Zaidi »

Dk Mpango akaribisha wawekezaji EU

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango, amewakaribisha wawekezaji kutoka Umoja wa Ulaya (EU), kuwekeza nchini na kusema Tanzania imedhamiria kuvutia…

Soma Zaidi »

Watakiwa kupata mafunzo ubora wa bidhaa

KATIBU Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Mussa amewataka  wakurugenzi wa Halmshauri mkoani Arusha kubaini makundi au vikundi yanayojihusisha na uzalishaji…

Soma Zaidi »
Back to top button