Fedha

Tanzania sasa kuingiza bidhaa 10 soko la Afrika

WIZARA ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imesema Tanzania inapaswa kuongeza kasi na kuwa na mikakati ya kuzitumia fursa katika Eneo…

Soma Zaidi »

Kampuni 400 za Ulaya kutua nchini kusaka fursa uwekezaji

KAMPUNI 400 kutoka Umoja wa Ulaya (EU) zinatarajia kuja nchini mwezi ujao kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji na…

Soma Zaidi »

Mwenyekiti TPSF ateta na Spika Bunge la India

MWENYEKITI wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Angelina Ngalula amesema biashara kati ya Tanzania na India inatarajiwa kufikia dola…

Soma Zaidi »

Miradi 630 ya uwekezaji yasajiliwa TIC

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa fedha 2021/2022 miradi mipya ya uwekezaji 630 yenye thamani ya Dola za…

Soma Zaidi »

DC Rungwe aomba MeTL ibanwe mashamba ya chai

MKUU wa Wilaya ya Rungwe Dk Vicent Anney,  ameishushia lawama kampuni ya Mohamed Enterprises (MeTL), akidai inaua kilimo cha chai…

Soma Zaidi »

Mnada wa chai kuanza bila tozo

MNADA wa zao la chai nchini unaotarajiwa kuanza kufanywa jijini Dar es Salaam mwaka huu, huku serikali ikitangaza neema kwa…

Soma Zaidi »

SUMAJKT yanunua magari 17 kusaidia uzalishaji mali

MKUU wa Tawi la Utawala Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Brigedia Jenerali Hassan Mabena ameagiza watendaji wa…

Soma Zaidi »

Wasaini ushirikiano utafiti wa masoko

KAMPUNI ya Huduma za Meli (MSCL) na Wakala wa Uwezeshaji wa Usafiri wa Ushoroba wa Kati (CCTTFA), zimesaini makubaliano ya…

Soma Zaidi »

Nauli mpya mwendo kasi Dar kuanza leo

WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa bei mpya za nauli kwa watu wazima wanaosafiri katika njia kuu na mlishi…

Soma Zaidi »

TRA yasisitiza usajili wa biashara Geita

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA), mkoani Geita imewataka wafanyabiashara kuhakikisha wanasajili biashara zao, ili waweze kuziendesha katika mfumo rasmi na…

Soma Zaidi »
Back to top button