Uchumi

Samia aagiza ijengwe SGR kwenda Arusha

ARUSHA; RAIS Samia Suluhu Hassani ameagiza uanze mchakato wa kujenga Reli ya Kisasa (SGR) kwenda mkoani Arusha. Mkurugenzi Mkuu wa…

Soma Zaidi »

Mashirika ya umma kwenda kimataifa

SERIKALI imezitaka taasisi na mashirika ya umma ambayo hayajajisajili kwenye masoko ya mitaji ya kimataifa kufanya hivyo ili kuwezesha wananchi…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Samia atamaliza changamoto za kodi

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kumaliza changamoto zinazohusu masuala ya kodi. Majaliwa amehimiza jumuiya…

Soma Zaidi »

‘Serikali inatambua umuhimu ushirikiano Sekta ya Umma, Binafsi’

SERIKALI imesema inatambua umuhimu wa ushirikino kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi katika kukuza uchumi wa nchi, huku…

Soma Zaidi »

DC Kahama ajivunia matunda ya kodi wilayani kwake

SHINYANGA; MKUU wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Mboni Mhita amewataka wananchi kuendelea kulipo kodi na kujivunia maendeleo mbalimbali yanayopatikana…

Soma Zaidi »

Awamu ya Sita yapongezwa kukuza uchumi

SERIKALI ya Awamu ya Sita imepongezwa kwa kukuza uchumi wa nchi. Hivi karibuni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),…

Soma Zaidi »

Vijana Dodoma wachangamkia fursa za mikopo

KWA Mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, idadi ya vijana nchini ni asilimia 34.5 ya Watanzania…

Soma Zaidi »

Thamani vitega uchumi NSSF juu asilimia 92

THAMANI ya vitega uchumi vya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) imeongezeka kwa asilimia 92 kwa miaka minne,…

Soma Zaidi »

Tril 67/- zawekezwa miradi miaka minne

SERIKALI imesema Sh trilioni 67 zimewekezwa kwa miaka minne katika miradi ya uwekezaji nchini. Aidha, katika kipindi hicho cha uongozi…

Soma Zaidi »

Benki ya Dunia yasifu sera za Rais Samia

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, Dk Zarau Kibwe amepongeza uongozi na sera za kiuchumi za Rais…

Soma Zaidi »
Back to top button