Uchumi

‘Elimu zaidi inahitajika fursa Uchumi wa Buluu’

DAR-ES-SALAAM, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko amesema asilimia kubwa ya Watanzania bado hawana ufahamu wa…

Soma Zaidi »

40,000 wasafiri kwa SGR siku 20

WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema tangu Juni 14, mwaka huu Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesafi risha zaidi…

Soma Zaidi »

Malima ahimiza kilimo cha mazao ya kimkakati Mlimba

SERIKALI ya mkoa wa Morogoro imewataka madiwani na watendaji wa halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero kuhamasisha wananchi kuzalisha mazao…

Soma Zaidi »

Mkakati kuhakikisha usalama, ubora vyakula vya mifugo

SERIKALI imekutana na Vyama vya Ndege Wafugwao pamoja na Chama cha Wazalisha wa Vyakula vya Mifugo (TAFMA), ili kuhakikisha usalama…

Soma Zaidi »

Wabunge washauri njia za kuongeza kasi uchumi

DODOMA – WABUNGE wameishauri serikali izingatie kuboresha kilimo, elimu na mazingira ya biashara kama njia za kuongeza kasi ya kukuza…

Soma Zaidi »

Swissport yawapa gawio wanahisa

DAR ES SALAAM; Kampuni ya Swissport imetoa gawio la asilimia 51.3 sawa na Sh bilioni 1.8 kwa wanahisa wake. Akizungumza…

Soma Zaidi »

Wasomi, wanasiasa wakoshwa bajeti 2024/25

DAR ES SALAAM – WASOMI, wanasiasa na wachumi wamepongeza bajeti ya serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 huku wakiishauri serikali…

Soma Zaidi »

Mambo manne yatajwa kupaisha uchumi

DODOMA – PATO halisi la Taifa limefi kia Sh bilioni 148,399.76 mwaka 2023 kutoka Sh bilioni 141,247.19 mwaka 2022, sawa…

Soma Zaidi »

Tril 15.94/- kugharimia shughuli za maendeleo

DODOMA – SERIKALI imetenga Sh trilioni 15.94 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kugharamia shughuli za…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara 42 wa Comoro kushiriki Sabasaba

DAR ES SALAAM – WAFANYABIASHARA 42 kutoka nchini Comoro wanatarajiwa kushiriki maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar…

Soma Zaidi »
Back to top button