Uchumi

Bajeti ya Kenya sh trilioni 63.2

SERIKALI ya Rais William Ruto imewasilisha bajeti yake ya kwanza ya Sh trilioni 3.7 za kenya (TSh trilioni 63.2) ikipania…

Soma Zaidi »

Serikali yapendekeza bajeti ya sh trilioni 44.39

SERIKALI imependekeza mapato na matumizi ya Sh trilioni 44.39 kama bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/24. Waziri wa Fedha na…

Soma Zaidi »

Bajeti Uganda sh yafikisha trilioni 34

WAZIRI wa Fedha wa Uganda Matia Kasaija amewasilisha hotuba ya mapato na matumizi ya Serikali ya Rais Yoweri Musevini imeonge…

Soma Zaidi »

Hakuna ushuru magari ya gesi, umeme

SERIKALI inakusudia kusamehe ushuru wa bidhaa unaotozwa kwa mujibu wa uwezo wa injini (engine capacity) kwenye magari yanayotumia nishati ya…

Soma Zaidi »

Michezo ya kubahatisha, tozo juu

SERIKALI inakusudia kuongeza tozo ya michezo ya kubahatisha kutoka shilingi 10,000 hadi Shilingi 30,000 kwa kila mashine ya Sloti kwenye…

Soma Zaidi »

Deni la Taifa bado himilivu – Mwigulu

DENI  la Serikali hadi Aprili 2023, lilikuwa shilingi trilioni 79.10, sawa na ongezeko la asilimia 13.9 ikilinganishwa na shilingi trilioni…

Soma Zaidi »

Sh 100 kuongezwa kwa kila lita ya Dizeli, Petroli

SERIKALI imependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta, Sura 220 kwa kuongeza Ushuru wa Barabara na…

Soma Zaidi »

Marufuku kufunga biashara- Mwigulu

SERIKALI imepiga marufuku utaratibu  unaochipukia kwa kasi wa taasisi mbalimbali za Serikali na Halmashauri kufunga biashara, ofisi na maeneo mengine…

Soma Zaidi »

Madudu haya kero kwa wawekezaji – Mwigulu

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema kuwa wawekezaji wa nje  wamekuwa wakikutana na vikwazo vingi kuliko uwezeshaji ndani…

Soma Zaidi »

Matangazo mtandaoni kutozwa kodi

SERIKALI inatarajia kuanzisha mfumo wa kidijitali wa kufuatilia na kuhakikisha kodi husika za Serikali zinalipwa kwa wakati kwa matangazo ya…

Soma Zaidi »
Back to top button