Uchumi

Serikali yapewa ushari kuepuka hasara ATCL

WACHAMBUZI wa masuala ya uchumi wameishauri serikali itoe upendeleo maalumu kwa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ili kuiongezea mapato na…

Soma Zaidi »

Wadau wataka 10% za halmashauri zipelekwe benki

WADAU wa uchumi na jamii wameishauri serikali baada ya kusitisha utoaji mikopo ya vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye…

Soma Zaidi »

Uchumi wapaa, pato lafikia Sh trilioni 200

TAKWIMU mpya za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania (GDP) kwa bei ya…

Soma Zaidi »

TAFIRI yapewa msaada vifaa vya utafiti

SERIKALI ya Tanzania imepokea msaada wa vifaa vya utafiti wa maji baridi katika maziwa. Vifaa hivyo vyenye thamani ya dola…

Soma Zaidi »

Benki ya Dunia yaisifu Tanzania usimamizi uchumi

BENKI ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayopata fedha kutoka kwenye…

Soma Zaidi »

Mambo yaiva ujenzi SGR Tanzania, Burundi

MCHAKATO wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Tanzania hadi Burundi umeanza kufuatia kutangazwa kwa zabuni ya ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Samia agusa wengi hatua ripoti CAG

VYAMA vya siasa, wachumi na wananchi ndani na nje ya nchi wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanza kuchukua hatua…

Soma Zaidi »

Kweleakwelea waharibu mashamba ya wakulima

TAKRIBANI heka 1,600 za mashamba ya mpunga Kata ya Kagu, Halmashauri ya Wilaya ya Geita mkoani hapa, zipo hatarini kushambuliwa…

Soma Zaidi »

‘Waidhinishaji akaunti 12 TPA si wafanyakazi’

UKAGUZI  uliofanywa na Mdhibiti Mkuu na Mkaguzi wa hesabu za Serikali (CAG),  umebaini hadi kufikia Juni 30, 2022 Mamlaka ya…

Soma Zaidi »

Ziara Makamu wa Rais Marekani yaleta neema

SERIKALI ya Marekani imeahidi kujenga kiwanda  kikubwa nchini Tanzania cha kuchakata madini aina ya nickel yatakayotumika kutengeneza betri za gari…

Soma Zaidi »
Back to top button