Uwekezajia

Serikali kuboresha mazingira ya uwekezaji

WAZIRI wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba ameihakikishia Jumuiya ya Kimataifa na Watanzania kwa ujumla kwamba serikali inaendelea kuweka na kuboresha…

Soma Zaidi »

Wadau wekezeni kwenye sekta za kilimo na viwanda

DODOMA : Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo(Mb.), alitoa wito huu katika mazungumzo…

Soma Zaidi »

TCB yajivunia mafanikio mradi wa SGR

DAR ES SALAAM:  Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi…

Soma Zaidi »

Bil 650/-kutumika upanuzi Kilombero

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo ameupongeza uongozi wa kiwanda cha sukari Kilombero mkoani Morogoro kwa uwekezaji mkubwa…

Soma Zaidi »

TAA yaita wawekezaji viwanja vya ndege

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA), imewataka Watanzania kuchangamkia fursa za kibiashara na uwekezaji zilizopo katika…

Soma Zaidi »

Yusuf Manji kuzikwa leo Florida

MAREKANI – ALIYEKUWA mwenyekiti na mfadhili wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji atazikwa leo Florida nchini Marekani, familia yake imesema.…

Soma Zaidi »

Prof Bisanda asisitiza utunzaji rasimali Chuo Kikuu huria

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Profesa Elifas Bisanda amesisitiza utunzaji sahihi wa rasilimali za chuo hicho…

Soma Zaidi »

Tozo matumizi miundombinu bandari kurudi TPA

DODOMA – SERIKALI imependekeza marekebisho kwenye Sheria ya Bandari ya Mwaka 2004 ili kurejesha jukumu la kukusanya tozo ya matumizi…

Soma Zaidi »

Benki yazindua akaunti ya mfugaji

DAR ES SALAAM: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua ‘Akaunti ya Mfugaji’ mahususi kwa ajili ya wadau wa sekta…

Soma Zaidi »

Kampuni 27 Ufaransa kuwekeza Tanzania

DAR ES SALAAM: UJUMBE wa wafanyabiashara kutoka kampuni 27 za Ufaransa upo nchini kwaajili ya kujadili fursa mbalimbali za uwekezaji.…

Soma Zaidi »
Back to top button