Uwekezajia

Samia ahamasisha Uwekezaji

PWANI: Rais Samia Suluhu Hassan, amesema milango ipo wazi kwa wawekezaji wanaotaka kuwekeza Tanzania katika harakati za kuendelea kukuza uchumi…

Soma Zaidi »

Dk Ashatu Kijaji asisitiza uwajibikaji TBS

DAR ES SALAAM: Waziri wa viwanda na biashara Dk Ashatu Kijaji leo Septemba 18, 2023 ametembelea shirika la viwango Tanzania…

Soma Zaidi »

Mambo yanoga Bandari za Ziwa Tanganyika

SHILINGI bilioni 108 zilizowekezwa na serikali katika uboreshaji wa bandari za ziwa Tanganyika, zimekuwa kichocheo kikubwa cha uchumi na biashara…

Soma Zaidi »

EPZA yazungumzia ujenzi zaidi viwanda Bagamoyo

PWANI: Kamati ya Ofisi ya Rais mipango na uwekezaji imepokea taarifa ya upembuzi yakinifu pamoja na mpango kabambe wa mradi…

Soma Zaidi »

Tanzania yanufaika na GPE

TAASISI ya Ushirikiano wa Elimu Dunia ((GPE) imeipatia  Tanzania Dola za Marekani milioni 207.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya…

Soma Zaidi »

Viongozi Bandari za Burundi ziarani kujifunza

KIGOMA:Ujumbe  wa viongozi wa serikali ya Burundi wanaosimamia uendeshaji wa bandari na usafirishaji majini umeanza ziara ya siku tatu mkoani…

Soma Zaidi »

Wawekezaji wazawa waahidiwa mazingira mazuri

KAMATI ya kudumu ya  Ustawi wa Maendeleo ya Jamii pamoja na Taasisi ya OSHA wamefanya ziara kwenye kiwanda cha Azam…

Soma Zaidi »

Makapi ya korosho dili ya kuzalisha mafuta, umeme

NAIBU Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha korosho zote zinabanguliwa nchini ifikapo 2026 ili kukuza…

Soma Zaidi »

BoT yatahadharisha wanaoshikilia dola

ARUSHA: Banki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tahadhari kwa raia wanaoshikilia pesa za kigeni hususani dola ya Marekani kuwa wapo…

Soma Zaidi »

TASAC yaboresha kanuni kuongeza ufanisi

SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC),  limesikia kilio cha wadau wa sekta ya usafiri kwa njia ya maji kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button