Featured

Featured posts

Kikosi Stars kufuzu CHAN hiki hapa

KIKOSI cha timu ya taifa “Taifa Stars” kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika kwa…

Soma Zaidi »

Wengi wakutwa na shikizo la damu Arusha

WATU 604 wamepata huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo zilizotolewa na wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)…

Soma Zaidi »

Rais mstaafu Peru jela miaka 20 kisa rushwa

MAHAKAMA nchini Peru imemhukumu rais wa zamani wa taifa hilo, Alejandro Toledo kifungo cha miaka 20 na miezi sita jela…

Soma Zaidi »

Tanzania na Singapore kuimarisha uhusiano

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa uhusiano wa Tanzania na Singapore ni wa muda…

Soma Zaidi »

Ni hekaheka Ligi ya Mabingwa Ulaya leo

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya ligi inarejea leo ikifanyika michezo tisa katika viwanja tofauti. Moja ya mechi…

Soma Zaidi »

Simba, Yanga viwanja tofauti Ligi Kuu leo

MIAMBA ya soka nchini Simba na Yanga leo zinashuka katika viwanja tofauti kusaka pointi 3 muhimu katika mwendelezo wa mechi…

Soma Zaidi »

Samia atoa mil 50/ kuwezesha wanawake wa Samia

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu ametoa kiasi cha Sh milioni 50 kwa Taasisi ya Wanawake na Samia Mkoa wa Geita…

Soma Zaidi »

Madaktari wa Samia wasaidia kuimairisha afya

IMEELEZWA uwepo wa kambi za madaktari bingwa wa Rais Samia Suluhu Hassan umesaidia kuimarisha hali ya utoaji huduma za afya…

Soma Zaidi »

Usalama usafiri wa anga kuimarisha uchumi

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imesema usalama wa anga na viwanja vya ndege…

Soma Zaidi »

Wagombea mitaa kutwaa fomu Oktoba 26

KUANZIA Oktoba 26 hadi Novemba 1 mwaka huu wagombea wa ngazi mbalimbali za Serikali za Mitaa wanatakiwa kujitokeza kuchukua fomu…

Soma Zaidi »
Back to top button