Featured

Featured posts

Jifunze Kiswahili

Vocaburary which start with letter A. Anza kuanza means to begin .Set about ,start sample translated sentence,si ajabu ameanza kuandika…

Soma Zaidi »

Hitilafu ya umeme chanzo foleni vituo vya gesi

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limefafanua kuwa msongamano wa magari uliotokea hivi karibuni kwenye vituo vya kujazia gesi,…

Soma Zaidi »

Miamba Ulaya yawania saini ya Florian Wirtz

TETESI za usajaili barani Ulaya zinasema Arsenal, Bayern Munich, Manchester City na Real Madrid zinashindania kumsajili kiungo mjerumani Florian Wirtz…

Soma Zaidi »

Yanga, Azam dimbani viwanja tofauti Ligi Kuu leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea kushika kasi, huku leo viwanja vitatu vikitarajiwa kuwaka moto. Bingwa mtetezi Yanga itakuwa uwanja Azam…

Soma Zaidi »

TCRA yaipiga pini kwa muda Mwananchi mtandaoni

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) imesitisha kwa siku 30 leseni ya huduma za maudhui mtandaoni za Mwananchi Communicaions Limited kutokana na…

Soma Zaidi »

Barcelona yamsajili Wojciech Szczęsny

KLABU ya Barcelona na Wojciech Szczęsny wamefikia makubaliano golikipa huyo kujiunga na timu hiyo hadi Juni 30, 2025. Barcelona imetangaza…

Soma Zaidi »

Mwanachama Chadema ajiunga ACT-Wazalendo

ALIYEKUWA mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Songea Mjini mwaka 2015 na Mwenyekiti Mwanzilishi wa…

Soma Zaidi »

Changamoto ya maji safi kumalizika Mbogwe

WAKALA wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Mbogwe ipo mbioni kukamilisha mradi wa maji Ushirika- Mlale ili…

Soma Zaidi »

JKT Queens yafanya mauaji Ngao ya Jamii

KLABU ya JKT Queens imetinga fainali ya Ngao ya Jamii wanawake 2024 baada ya kuikanda Ceasia Queens mabao 7-0. Mchezo…

Soma Zaidi »

Kituo cha afya kuhudumia watu zaidi ya 50,000

KITUO cha afya Sumbawanga Asilia kilichopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa kinatarajiwa kuhudumia wananchi zaidi ya 50,000 wa kata za…

Soma Zaidi »
Back to top button