Featured

Featured posts

John Bocco aibukia JKT Tanzania

KLABU ya JKT Tanzania imetangaza kumsajili mkongwe John Bocco kwa ajili ya msimu wa 2024/25 kwa mkataba wa mwaka mmoja.…

Soma Zaidi »

Simba hawataki mchezo Misri

CAIRO, Misri; Baadhi ya wachezaji wa Simba ya Dar es Salaam wakijifua leo Julai 10, 2024, wakiwa nchini Misri kujiandaa…

Soma Zaidi »

Hersi: Aziz Ki anabaki

DAR ES SALAAM; RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema ana matumaini makubwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Stephan Aziz Ki…

Soma Zaidi »

Nani kuwafuata ‘Gen Z’ fainali Euro 2024?

BAADA ya kikosi cha timu ya taifa ya Hispania chenye vijana wengi ‘Gen Z’ kutinga fainali ya Kombe la Mataifa…

Soma Zaidi »

TSN yapewa agizo taarifa za miradi

DAR ES SALAAM; MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba ameiagiza Kampuni ya Magazeti…

Soma Zaidi »

Msigwa kunguruma Iringa Ijumaa

IRINGA; CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Iringa Mjini kimempokea mwanachama wake mpya kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Msigwa…

Soma Zaidi »

Katavi kuingia umeme wa Gridi ya Taifa Sept 2024

MKOA wa Katavi unatarajiwa kuingizwa katika matumizi ya umeme wa Gridi ya Taifa ifikapo Septemba, 2024 baada ya kuikosa huduma…

Soma Zaidi »

Jafo awaagiza wakuu wa mikoa kutenga maeneo ya uwezekaji viwanda

MKURANGA: WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt Suleiman Jafo amewaagiza wakuu wote wa mikoa nchini kuhakikisha wanatenga maeneo ya uwekezaji…

Soma Zaidi »

Dkt Mpango: Msitumie magari ya serikali kwenda baa

KIGOMA: MAKAMU wa Rais Dkt.Philip Mpango amewaagiza wakuu wa wilaya za mkoa Kigoma kufuata maadili ya uongozi katika kutumia magari…

Soma Zaidi »

Jane Goodall apewa barabara Kigoma Ujiji

KIGOMA:Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji imempa jina la barabara Mwanamazingira maarufu duniani Mama Jane Goodall kwa mchango wake katika…

Soma Zaidi »
Back to top button