Featured

Featured posts

Wema ataka wasanii warudi shule

DAR ES SALAAM; Mwigizaji na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amesema kuna haja ya wasanii kurudi shuleni, ili kuongeza ujuzi…

Soma Zaidi »

Simba kucheza na mshindi mechi ya Uhamiaji

CAIRO, Misri:KLABU ya Simba SC imepangwa kukutana na Uhamiaji FC ya Zanzibar au mshindi wa Kombe la FA nchini Libya…

Soma Zaidi »

Man United yapanga kumuuza Sancho kwa vigogo

TETESI za usajili zinasema Manchester United imetoa ofa kwa Jadon Sancho kumpeleka Atletico Madrid, Napoli na PSG ili asajiliwe. Winga huyo…

Soma Zaidi »

Yanga yapewa Vital’O, Azam kuivaa APR

KLABU ya Yanga imepangwa kucheza na Vital’O FC ya Burundi katika hatua ya kwanza ‘Preliminary’ ya Ligi ya Mabingwa Afrika…

Soma Zaidi »

Twiga Stars dimbani kombe la Wanawake Tunisia 2024 leo

TIMU ya taifa ya mpira wa wa miguu kwa Wanawake(Twiga Stars) inashuka dimbani leo kuikabili Tunisia katika mchezo wa Kombe…

Soma Zaidi »

Dkt. Mpango asisitiza elimu kuepuka maradhi

KIGOMA: MAKAMU wa Rais Dkt. Philip Mpango amesisitiza umuhimu wa wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii kuwasaidia wananchi kwa kutoa…

Soma Zaidi »

Bandari bubu zatajwa mihadarati kuingia Z’bar

ZANZIBAR; MAMLAKA ya Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar imesema uchunguzi wao umeonesha dawa nyingi za kulevya zinazoingizwa visiwani humo…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara 891 kurejeshwa sokoni Kariakoo

DAR ES SALAAM; MENEJIMENTI ya Shirika la Masoko ya Kariakoo, Dar es Salaam imetangaza orodha ya wafanyabiashara 891 wenye sifa…

Soma Zaidi »

Mikopo 10% yaiva, mfumo, kanuni tayari

DAR ES SALAAM;  MAANDALIZI ya kanuni na mwongozo kwa ajili ya kutoa mikopo ya asilimia 10 katika halmashauri kwa ajili…

Soma Zaidi »

Asafirisha nyoka zaidi ya 100 kwenye suruali

RAIA mmoja wa China amekamatwa akisafirisha kimagendo nyoka 104 kwa kuficha kwenye suruali yake. Taarifa ya Idara ya Forodha ya…

Soma Zaidi »
Back to top button