Featured

Featured posts

Taifa Stars yaifuata Morocco kufuzu Kombe la Dunia

TIMU ya Taifa “Taifa Stars” imeondoka kuelekea Morocco kwenye mchezo wa Kundi E wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi…

Soma Zaidi »

INEC yaonya wanaojiandikisha mara mbili

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa onyo kwa wananchi wanaojiandikisha zaidi ya mara moja katika vituo tofauti. INEC…

Soma Zaidi »

Udanganyifu wageni Kariakoo waanikwa

SERIKALI imesema imebaini udanganyifu unaofanywa na wenyeji kwa kushirikiana na wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo, Dar es Salaam. Waziri wa Viwanda…

Soma Zaidi »

Majaliwa aagiza bidhaa kukidhi viwango

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za kudhibiti viwango nchini kuhakikisha bidhaa zote zinazozalishwa zikiwemo za afya zinakidhi ubora unaotakiwa…

Soma Zaidi »

Wakazi Dar wasisubiri mwishoni kujiandikisha daftari la wapigakura

WAKAZI wa Dar es Salaam wameanza kujiandikisha na wengine kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Mchakato…

Soma Zaidi »

Dira 2050 yataka uwezo kulinda mazingira

DIRA ya Taifa ya Maendeleo 2050 inataka nchi ifi kie maendeleo endelevu yanayozingatia uhifadhi wa mazingira. Rasimu ya sera hiyo…

Soma Zaidi »

Misri yaeleza mvuto wa Tanzania uwekezaji

WAZIRI wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje mwa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Dk Badr Abdelatty amesema…

Soma Zaidi »

MSD yaimarisha usafishaji damu, gharama kupungua

BOHARI ya Dawa Tanzania (MSD) imesema gharama za kusafi sha damu zitapungua kutoka kati ya Sh 200,000 hadi 230,000 kuwa…

Soma Zaidi »

Thamani miundombinu barabara yafikia tril 40/-

BODI ya Mfuko wa Barabara (RFB) imesema miundombinu ya barabara ni rasilimali ya umma yenye thamani kubwa zaidi inayokadiriwa kufi…

Soma Zaidi »

Samia ahimiza utu na weledi

RAIS Samia Suluhu Hassan amewashukuru wananchi kwa salamu za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka minne tangu alipoapishwa kuwa…

Soma Zaidi »
Back to top button