Habari Kwa Kina

MIAKA MIWILI YA DK MWINYI : Mageuzi makubwa ukuaji sekta za fedha, biashara Zanzibar

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametimiza miaka miwili ya kuwepo madarakani huku mwenyewe akijivunia mafanikio makubwa katika mageuzi ya…

Soma Zaidi »

Zuwena Senkondo: Afurahia sera ya Barrick kunufaisha Watanzania kupitia sekta ya madini

“SERA ya ushirikishaji Watanzania katika mnyororo wa uchumi wa madini sambamba na miradi ya kusaidia jamii, ni moja ya masuala…

Soma Zaidi »

Mfuko wa Barabara ulivyoleta mageuzi ya barabara

MFUKO wa Barabara na bodi yake (Roads Fund Board) vilianza kufanya kazi mwaka 2000 na vilianzishwa kupitia Sheria ya Tozo…

Soma Zaidi »

ASERI KATANGA: Mtanzania aliyetuzwa na Malkia kwa makubwa anayofanya Afrika

‘MCHEZA kwao hutuzwa’ ndio msemo wa Kiswahili unaofaa kumwelezea huyu Mtanzania, Aseri Katanga aliyekaribishwa ndani ya kasri ya Malkia Elizabeth…

Soma Zaidi »

Umuhimu madereva kuzingatia sheria ya EAC ya kudhibiti uzito wa magari

KUTII sheria bila shuruti ni msemo uliozoeleka maeneo yote kutokana na kampeni iliyokuwa ikifanyika ya kuzuia uhalifu na kuwataka wale…

Soma Zaidi »

Mkurugenzi TSN ateuliwa mjumbe wa Bodi TBC

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Tuma Abdallah ni miongoni mwa watu saba wa walioteuliwa kuwa wajumbe…

Soma Zaidi »

Mbeya wahimizwa kuitumia PJT-MMMAM kuimarisha watoto

“DHANA ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto ni huduma shirikishi kwa maana inaangalia maeneo ya afya bora,…

Soma Zaidi »

Utetezi kesi ya Ole Sabaya waitaka Mahakama Kuu

UPANDE wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi namba mbili, 2022 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole…

Soma Zaidi »

Simba Queens ina deni michuano ya CECAFA SAMIA CUP

DAR ES SALAAM katika viunga vya Chamazi inashuhudia Ligi ya Mabingwa Afrika wa Ukanda wa Baraza la Vyama vya Soka…

Soma Zaidi »
Back to top button